ropam
Senior Member
- Aug 11, 2010
- 173
- 35
Salaam wadau!Kuna kazi imetangazwa na hawa jamaa wa RTI international kupitia daily news ya 31st May, 2012 according to zoomtanzania.com, bt kwenye tangazo lilowekwa zoom hawajaweka email adress......kama kuna mtu alipata access ya hilo gazeti gazeti, atusaidie details zake hiyo kazi!