Kazi na dawa, hapa kazi tu!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
Hatari..jpg
 
Huyu afai, uwezi kupiga kitwaga na silaa begani, maadili ya kazi hayaruhusu kabisa
 
angekua maeneo ya ambaon huyo wale jamaa sijui wangefanya sherehe ya aina gani,kitwanga kazin?
 
Muwe na heshma jamani nyie mnataka raha mle nyie tuu!!!kwani hamjui kazi kazini,????
 
Hizi picha kuna moja kati ya matatu kutokea.
1.Kutafutwa aliyeiweka hapa.
2.Kufukuzwa kazi hao jamaa
3.Hayo majeshi kutoa matamko.
@ Kukana kutowajua
(b) kuwaonya raia dhidi ya uzushi (kusema imetengenezwa)
 
Hizi picha kuna moja kati ya matatu kutokea.
1.Kutafutwa aliyeiweka hapa.
2.Kufukuzwa kazi hao jamaa
3.Hayo majeshi kutoa matamko.
@ Kukana kutowajua
(b) kuwaonya raia dhidi ya uzushi (kusema imetengenezwa)
Umesahau moja.

Kuwa hao ni binadamu hawajakamilika kama wew na mimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom