Kazi kwenye NGO's

madata84

Member
Jan 17, 2011
49
2
Natafuta kazi ya social work nimemaliza Diploma ya social science atakayesikia anishtue jamani wana jf.
 
Nikushauri tuu pa kuanzia omba kufanya kazi ya Volunteer kwenye NGOs kubwa kubwa ukishafahamu NGOs zinavyofanya kazi ni rahisi sana kupata ajira ya kudumu.
 
Atakayesikia au atakayejua mchakato mzima awasiliane nami kwa email madata84@yahoo.com chondechonde jamani tukumbukane.
 
Natafuta kazi nimesoma Diploma ya International relations & Diplomacy na Business Administrations
 
Mimi Zakaria nimemaliza kidato cha 6 (forms six) natafuta kazi ya HOTELINI ngazi yoyote ile,atakayesikia namuomba awasiliane nami kwa no. +255774362316
 
Natafuta kazi nimesoma Diploma ya International relations & Diplomacy na Business Administrations

Hey, Najua mtu alie maliza in the same field ila ni vigumu kuanza straight ktk IR. anza kwanza social work in NGO, hata ya attachment.
 
Mimi Zakaria nimemaliza kidato cha 6 (forms six) natafuta kazi ya HOTELINI ngazi yoyote ile,atakayesikia namuomba awasiliane nami kwa no. +255774362316

dah!
Sasa kazi unayotaka ya ngazi yoyote lazima ufanyie hotelini?
Usijilimit mkuu halafu unapotafuta kazi ni sawa na kujiuza kwahiyo toa sifa za ziada kwanini huduma yako itakuwa bora kuliko wengine.
 
Wanajf naombeni atakayesikia kazi za social work anijulishe kwa email yangu madata84@yahoo.com nimesomea Diploma ya social science
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom