Kazi ambayo JK anaipenda ni.............blahblah.........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
03_11_c6qp5w.jpg

Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa tano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uzinduaji (EITI) mjini Paris, Ufaransa, uliozungumzia matarajio ya baadaye ya tasnia hiyo na uwazi katika masuala ya fedha. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani Indrawati, Mwenyekiti mtarajiwa wa EITI, Clare Short, na Rais wa Msumbiji, Armando Guebuza. (Picha na John Lukuwi).
 
<table border="0" width="100%"><tbody><tr><td align="center" valign="top">
03_11_hcrcus.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" align="center" valign="top">PRESIDENT Jakaya Kikwete exchanges views with the President of The Movement of French Enterprises Philippe Gautier after attending the Fifth Conference of Extractive Industries Transparence Innitiative (EITI) in Paris on Friday. (Photo by John Lukuwi)</td> </tr> <tr> <td class="mainStoryUnderline" align="center" valign="top">Go to Gallery</td></tr></tbody></table>
 
Kazi ya kutatua matatizo nyeti kama haya hukimbia baada ya kujitokeza kwa masaa machache na kutoweka................................

<table align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr bgcolor="#ffffff"><td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">
03_11_f96y8k.jpg
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">BIG BROTHER TO RISE AGAIN? Petty traders at Urafiki market area re-erect poles for display of their merchandise as captured in Dar es Salaam on Friday. Former business stales were demolished on Tuesday by City authorities to pave way for Rapid Bus Transit Project.</td></tr></tbody></table>
 
Heheheh huyo ndo JK au mtoto wa kijiweni kwa kupiga soga tuu hajambo suala la umaskini hata yeye hajui :A S 13::A S 13::A S 13:
 
JK amefanya mengi na bado anapambana kwa ajili yetu wa Tz

unajua watu hawataki kupima kiudhati alipotutoa kaka yetu JK hadi tulipo sasa, huyu binaadamu ana mapungufu yake, ila pia amejitahid sana kuijenga nchi
 
Funga domo lako wewe.
 
JK amefanya mengi na bado anapambana kwa ajili yetu wa Tz

unajua watu hawataki kupima kiudhati alipotutoa kaka yetu JK hadi tulipo sasa, huyu binaadamu ana mapungufu yake, ila pia amejitahid sana kuijenga nchi

Kalale nae..........
 
duh

kwa kweli mm siwaelewi baadhi ya watu, hawaoni, wanachuki binafsi au kuna nn ?
 
Nchi inajengwa na wananchi si JK kama unavyotaka tuamini,yeye anajua tu kupiga soga huku marafiki zake wakiitafuna nchi,alipotutoa palikuwa pazuri kuliko sasa.
 
duh

kwa kweli mm siwaelewi baadhi ya watu, hawaoni, wanachuki binafsi au kuna nn ?
Mtu wa pwani mimi nakufahamu saana mkuu tumetoka mbali toka kipindi cha kampeni mpaka jk ameshinda! Mkuu mshauri mtu uliyemtetea kuwa huu mda si wa mbwembwe ila afanye kazi, tena afanye kazi kubwa nchi hii inaliwa na mafisadi na yeye anajua but hajashughulika ya kutosha. JK ALIYOYAFANYA NIKIDOGO SAANA HATA LINGEKAA JIWE LINGEFANYA ALIYOFANYA MKUU!
 
JK amefanya mengi na bado anapambana kwa ajili yetu wa Tz

unajua watu hawataki kupima kiudhati alipotutoa kaka yetu JK hadi tulipo sasa, huyu binaadamu ana mapungufu yake, ila pia amejitahid sana kuijenga nchi

Yapi hayo mkuu?
 
hapo ndio nachoka kabisa, kwa safiri 2 hongera! ila ukweli me sijui sie tunanufaika vipi na hizi safari!
 
Safari nyingine inapunguza heshima akienda yeye as Presidaaa, while it should have been a representative at lower level would do
 
JK amefanya mengi na bado anapambana kwa ajili yetu wa Tz

unajua watu hawataki kupima kiudhati alipotutoa kaka yetu JK hadi tulipo sasa, huyu binaadamu ana mapungufu yake, ila pia amejitahid sana kuijenga nchi

Hebu yataje na sisi tuyafahamu.
 
Eeeh TUNTU MIE TUNTU NIPIGIE, SI UNA ZANTEL WEWE NIPIGIE.

Duuh hii kali jamaa anabeep kutoka ulaya!

MKURU wetu anatubeep akiwa ulaya! duuh hii kali
 
Back
Top Bottom