Kawambwa akanusha vya matundu 4 ya vyoo.

Wapi utaweza kujenga choo cha tundu moja kwa laki saba? Makadirio ya haraka haraka kwa kurejea ujenzi huku kwetu mitaani ni kama ifuatavyo: Kuchimba shimo la kina mita 3, upana mita 2 na urefu mita 2 (12 cubic metres of soil) ni Shs 400,000. Kuweka tandiko la chini ni kama Shs laki 2, Matofali ya kujengea shimo kuanzia chini hadi juu mwisho wa shimo ni tofali 400 kila moja shs 700 inakuwa Shs 280,000 na Sementi ya kujengea ni mifuko miine jumla shs 50,000. Kupiga plasta shimo ni mifuko 6 ya shs 80,000. Tandiko la juu ya choo la mita 2.5 x 2.5 likiwa na nondo mm 12 pamoja na kokoto ni Shs 150,000. Kujenga boma ni tofali 200 kwa shs 140,000 na mifuko mminne ya sementi 50,000. Mbao za kuezekea ni 6 za shs 90,000.

Bati tatu za shs 45,000, na kupiga plasta boma ni mifuko 6 ya shs 80,000. Ongeza gharama za milango mmoja na komeo (150,00) na dirisha moja (80,000), jumla ndogo tuunapata shs 1,595,000. Ongeza 25 % labour charges inapanda na kuwa shs: 1,993,750/=, na hapo gharama za usafirishaji wa vifaa sijaweka, Watalaam wengine hapa JF watanisaidia.Gharama hizi zikiingizwa kwenye kandarasi ya serikali inaweza kufikia Shs 3,000,000 kwa kila shimo, hapo hujaweka posho za Mkuu wa Idara ya Elimu Wilaya, Mhasibu Mkuu wa wilaya, Afisa Mipango wa wilaya, Mhandisi Wilaya, Mkuu wa Afya Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kuja kukagua kama ujenzi wa chjoo unaendelea vizuri (Shs 1,000,000) na cha mbele / ufisadi milioni kadhaa.

Namshangaa mhandisi Kawambwa kwa kutaka kutudanganya ati 700,000 kwa kila shimo.

Heshima kwako Mama Mdogo, Mama hakuna haja ya kuomba msaada umemaliza kila kitu asikuelewa shauri yake.
 
Wapi utaweza kujenga choo cha tundu moja kwa laki saba? Makadirio ya haraka haraka kwa kurejea ujenzi huku kwetu mitaani ni kama ifuatavyo: Kuchimba shimo la kina mita 3, upana mita 2 na urefu mita 2 (12 cubic metres of soil) ni Shs 400,000. Kuweka tandiko la chini ni kama Shs laki 2, Matofali ya kujengea shimo kuanzia chini hadi juu mwisho wa shimo ni tofali 400 kila moja shs 700 inakuwa Shs 280,000 na Sementi ya kujengea ni mifuko miine jumla shs 50,000. Kupiga plasta shimo ni mifuko 6 ya shs 80,000. Tandiko la juu ya choo la mita 2.5 x 2.5 likiwa na nondo mm 12 pamoja na kokoto ni Shs 150,000. Kujenga boma ni tofali 200 kwa shs 140,000 na mifuko mminne ya sementi 50,000. Mbao za kuezekea ni 6 za shs 90,000. Bati tatu za shs 45,000, na kupiga plasta boma ni mifuko 6 ya shs 80,000. Ongeza gharama za milango mmoja na komeo (150,00) na dirisha moja (80,000), jumla ndogo tuunapata shs 1,595,000. Ongeza 25 % labour charges inapanda na kuwa shs: 1,993,750/=, na hapo gharama za usafirishaji wa vifaa sijaweka, Watalaam wengine hapa JF watanisaidia.Gharama hizi zikiingizwa kwenye kandarasi ya serikali inaweza kufikia Shs 3,000,000 kwa kila shimo, hapo hujaweka posho za Mkuu wa Idara ya Elimu Wilaya, Mhasibu Mkuu wa wilaya, Afisa Mipango wa wilaya, Mhandisi Wilaya, Mkuu wa Afya Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya kuja kukagua kama ujenzi wa chjoo unaendelea vizuri (Shs 1,000,000) na cha mbele / ufisadi milioni kadhaa. Namshangaa mhandisi Kawambwa kwa kutaka kutudanganya ati 700,000 kwa kila shimo.


Eng. Mama mdogo Thx kwa huo mchanganuo.
Ndo mana apo juu nilisema hakua anajiamini alichokua anasema. Mtangazaji ilibidi awe anaspin maswali kwani mkuu alikua hawezi kuzielezea burungutu za print out alizokuja nazo studio.

Huenda zile print out alipewa aje atusomee studio.

Kidogo nitie mashaka udocta wake.
 
Kawambwa amesema kuwa shule tano kule bagamoyo zilitengewa shilingi laki 7 kila moja kwa kila moja kujenga choo ya matundu manne. Kwa sababu hiyo jumla ya fedha zote zilizotengwa ni sh. milioni 3.5 NA SIYO SHILINGI BILIONI 3.5 alizozichakachua padre Slaa. Ukweli pekee ndio utakaotuweka huru na sio ghirba ama kuchakachua takwimu.!!!
Wakati mwingine muwe munatanguliza uzalendo sio kushabikia tuu na vitu vya kipuuzi muungwana hukubali kosa na kutofita kitu gani kilijiri hata mimi nilikuwepo mwembeyanga Dr wa Kweli alisoma kwenye kitabu hicho kitabu alikisoma pia Bagamoyo TBC wanambeba Kawambwa na JK hawatafika popote nategemea sio Kapongo yule mtendaji wa kata ya Kiwalani
 
Back
Top Bottom