Kausafi nafuu kwa walemavu

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Nimefurahia hii huyu dada na mwanae hapo nyuma,lakini bado kuna walemavu wengine wanataka usafili wa bei ghali.

 
Thats is good!

I am happy too, any clue how much? tunaweza kujitoa na kuweka order ya kuvitengeneza vingi kusaidia walemavu!
 
Ni nzuri na cheap, ila ninahisi kama kama bado kazi inahitajika kupunguza uzito kwa kuwa ni manual operated.
 
Back
Top Bottom