Kauli yetu wanajimbo: Tundu Lissu asahau kurudi bungeni

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Mpaka kufikia leo mwezi huu kusema ukweli sisi watu wajimboni kwake hatumuelewi anafanya nini zaidi ya kuchafua hali ya utulivu nchini kwa siasa za kizandiki na unafiki wa hali ya juu huku akijua sisi ndio tulio kuweka hapo.

Ndugu mbunge wetu kaa utambue hatutakua na wewe kama ukiendelea kukwamisha mipango ya maendeleo bila ya sababu au hoja za msingi.

Tutakuadhibu kama wananchi wavujao jasho kwa kwa kutokukupa kura la sivyo jimboni hapatotawalika

Tunakupenda sana.
 
Acha Upuuzi Wako, Usiwasemee Watu, Kwa Taarifa Yako Lisu Ndo Rais Wa Singida
 
Mpaka kufikia leo mwezi huu kusema ukweli sisi watu wajimboni kwake hatumuelewi anafanya nini zaidi ya kuchafua hali ya utulivu nchini kwa siasa za kizandiki na unafiki wa hali ya juu huku akijua sisi ndio tulio kuweka hapo...
Ndugu mbunge wetu kaa utambue hatutakua na wewe kama ukiendelea kukwamisha mipango ya maendeleo bila ya sababu au hoja za msingi
Tutakuadhibu kama wananchi wavujao jasho kwa kwa kutokukupa kura ....
La sivyo jimboni hapatotawalika

Tunakupenda sana....
Wewe u nani hasa,unatafuta cheap popularity ambayo huwezi kupata.Wewe ni zaidi ya Raisi wa JMT aliposema wakati wa kampeni `Ni heri dr Slaa kuwa raisi ila siyo TL kuwa mbunge' akashindwa je wewe una uwezo gani?Ni wewe na kina nani hao unaowaita wanajimbo una nguvu gani za kuhumhukumu?Mipango ya maendeleo ipi alokwamisha ,hebu tupiamo ili tujue.Nadhani unahitaji maombi,ushauri nasaha na ukombozi wa kifikra.
 
Hujui kitu wewe sisi ndio ndio tunamchagua tunaye mtaka wazandiki na wanafiki hatuwataki

Ndugu mbunge anaonyesha dalili hizo
Sisi sio mazoba tuchague watu wasiopenda maendeleo bungeni kwetu......tunakemea hilo bado miezi tisa tu ....
 
Wanasingida mlikosea sana kumchagua huyo chizi. oneni sasa anavyowaaibisha
 
Mpaka kufikia leo mwezi huu kusema ukweli sisi watu wajimboni kwake hatumuelewi anafanya nini zaidi ya kuchafua hali ya utulivu nchini kwa siasa za kizandiki na unafiki wa hali ya juu huku akijua sisi ndio tulio kuweka hapo...
Ndugu mbunge wetu kaa utambue hatutakua na wewe kama ukiendelea kukwamisha mipango ya maendeleo bila ya sababu au hoja za msingi
Tutakuadhibu kama wananchi wavujao jasho kwa kwa kutokukupa kura ....
La sivyo jimboni hapatotawalika

Tunakupenda sana....

wananchi wa.pu.mba.vu kama ww ndo mnafanya nchi hii isisonge mbele.hilo jimbo kabla ya TL hajawa mbunge c lilikuwa chini ya Wabunge wa CCM kwa miaka 45 na ushee walileta maendeleo gn? Hata asipo leta kwny jimbo lenu kasaidia hii nchi kwa kiwango cha kutosha.akienda jimbo lolote hapa TZ atashinda.usiwe unaongea kama umebanwa na u.shu.zi
 
Aende tu kwingine SiSi HATUMTAKI
WATU WAVURUGU HATUJAWAZOEA ASIJE GEUZA JIMBO KUWA TORABORA BURE
 
Wewe u nani hasa,unatafuta cheap popularity ambayo huwezi kupata.Wewe ni zaidi ya Raisi wa JMT aliposema wakati wa kampeni `Ni heri dr Slaa kuwa raisi ila siyo TL kuwa mbunge' akashindwa je wewe una uwezo gani?Ni wewe na kina nani hao unaowaita wanajimbo una nguvu gani za kuhumhukumu?Mipango ya maendeleo ipi alokwamisha ,hebu tupiamo ili tujue.Nadhani unahitaji maombi,ushauri nasaha na ukombozi wa kifikra.
Hana hoja za msingi katika maendeleo ya nchi mkuu huoni au una makengeza
 
Ninajisikia fahari mno kuwa na mbunge WA kariba ya TL! TL fahari ya Singida, fahari ya Taifa!
 
Hujui kitu wewe sisi ndio ndio tunamchagua tunaye mtaka wazandiki na wanafiki hatuwataki

Ndugu mbunge anaonyesha dalili hizo
Sisi sio mazoba tuchague watu wasiopenda maendeleo bungeni kwetu......tunakemea hilo bado miezi tisa tu ....

mara zote watu Wa Lumumba huwa mna hoja zilizo oza kabisa
 
Mpaka kufikia leo mwezi huu kusema ukweli sisi watu wajimboni kwake hatumuelewi anafanya nini zaidi ya kuchafua hali ya utulivu nchini kwa siasa za kizandiki na unafiki wa hali ya juu huku akijua sisi ndio tulio kuweka hapo.

Ndugu mbunge wetu kaa utambue hatutakua na wewe kama ukiendelea kukwamisha mipango ya maendeleo bila ya sababu au hoja za msingi.

Tutakuadhibu kama wananchi wavujao jasho kwa kwa kutokukupa kura la sivyo jimboni hapatotawalika

Tunakupenda sana.

Utamwadhibu hapo Lumumba ulipokalisha naniliu zako kusubiri upewe 7000.? Hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom