Kauli ya Spika inayompeleka Membe Ikulu na kuzika ndoto ya Lowassa...

Hata Membe anawaza kuwa Rais wa nchi hii?
Jimboni kwake tu alishinda kwa ujanja ujanja!!!
Hata Mimi ngoja nisubiri ndoto

Mkuu, na hii ndo iakujulisha kuwa JK ameufanya U-Rais kuwa rahisi mno mno mno. Kila mu anajipima na JK na kusema kama yeye ameweza kwa nini mimi nishindwe. U-rais umekuwa kama kale kawimbo ka mipasho ...
 
Kwa hiyo yericko umemtosa slaa umehamia kwa membe?
umeniwahi mkuu nilitaka kuuliza swali kama hilo
Haya hayakuhusu hata kidogo. Acha umbea. Hangaika na slaa wenu anayekula ruzuku ya chama
Hili ndio jibu la hawa wote hawa....Ye kanukuu ujumbe wa 6...hajasema kwamba (yericko) yupo nao hao aliowataja!!
Dah.. kuna somo la kutambua sentence nadhani linakuhusu mkuu.



Uwe na siku njema.
 
Wewe Yeriko leo unahalalisha ikulu kwa membe badala ya Slaa!Siamini macho yangu!
 
Kama JK aliweza kuwa Rais nani atashindwa?
Mambo mawili makubwa sana tutamkumbuka Jakaya wetu kwa URAIS wake huu:

-KATIBA MPYA ambayo itairudisha TANGANYIKA;
-Ameifungua sana TANZANIA kwa barabara na madaraja makubwa.

Historia haitamwacha kwa hayo hata kama hatumpendi.
 
Kwa kauli hii kwanini Sitta naye hajafungwa speed governor kama wenzake walivyofungiwa kwa mwaka mmoja? Au kina Nape na Kinana wana watu wao wa kugombea urais?
 
"Marafiki tupo watano. Mmoja kati yao akichukua fomu tutampitisha. Nipo mimi Sitta, Mwakyembe, Membe, Magufuli na Mwandosya" - Sitta!

Wiki juzi mtakumbuka nilimuonya Laigwanani kwa chagizo hili hapa chini:

wewe yericko ni cha umbea muongo na mzandiki, magufuli alikwishakana kauli hiyo mchana kweupe, rudi kwa JOSEPHINE ukalee mtoto.
 
Hivi mleta mada siku hizi upo rikizo kwenye ile kazi yako ya ufundi mchundo?

Maana naona una andika mambo yaliyo nje kabisa ya scope yako kwa kila namna; wewe sio mtu wa kumjadili Mamvi kwa lolote lile.

Ningekushauri ukomae na kazi yako ya kutundika mageti kwenye nyumba za watu ili ujikwamue na hali ngumu ya maisha yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom