Kauli ya Kizalendo: Nimeipenda

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Kauli ya kizalendo ya waandamanaji libya nimeipenda sana. Ikifika siku TZ tukatoa kauli kama hii tutakuwa tumefikia stage ya 'real freedom'.

"We're not here for power, authority or money," they said in a message aimed at Col Gaddafi.
"We are here for the cause of freedom and the price we are willing to pay is with our own blood. It's victory or death."
 
Nimeipenda sana. Nitamwambia JK kipenga kikilia!!

Hivi POKOLA labda nikuulize kidogo,, hicho kipenga unadhani nani atapiga? Wa kumfunga paka kengele nani? Mimi ungenibariki sana ukiwa wewe utakuwa wa kwanza kupuliza hicho kipenga. Halafu natamani ningekuona baada ya hapo ukitoka nduki kweli kweli pale FFU wakiingiza timu yao. Si mchezo.
 
Back
Top Bottom