Kauli tata ya Ridhiwan Kikwete

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Hii ni kauli ya Ridhiwani Kikwete katika group ya Chadema vs ccm

"Kwa matokeo haya , sio kweli kuamini kuwa wapinzani wetu wanapanda, ila ni sahihi kujiangalia na kujiuliza kwa nini tumeshuka?"
 
chenye utata ni nini hapo? Au kinachowashangaza ni nini? Ningeandika mimi hayo maneno, mngeyaleta hapa yajadiliwe? Mchukulieni Ridhiwani kuwa ni mtanzania kama mlivyo watanzania ninyi, hakuna sababu ya kumkosesha usingizi na kumnyima raha ya kutoa maoni yake kwa kuwa tu ninyi mnaquestion hata vijineno vidogo vidogo kama hivi! Hiyo kauli yeyote yule angeweza kuisema na wala isingehitaji mjadala. Tuache kuwapa watu popularity wasiyostahili.
 
Huyu mshuwa rz1, mwambie haya maneno aende akawaeleze magamba wenzake kwenye mkutano wao pele jangwani. Ili wajiulize na kupata majibu.
 
chenye utata ni nini hapo? Au kinachowashangaza ni nini? Ningeandika mimi hayo maneno, mngeyaleta hapa yajadiliwe? Mchukulieni Ridhiwani kuwa ni mtanzania kama mlivyo watanzania ninyi, hakuna sababu ya kumkosesha usingizi na kumnyima raha ya kutoa maoni yake kwa kuwa tu ninyi mnaquestion hata vijineno vidogo vidogo kama hivi! Hiyo kauli yeyote yule angeweza kuisema na wala isingehitaji mjadala. Tuache kuwapa watu popularity wasiyostahili.

Una akili wewe!, safi sana,hebu agiza ndovu baridi mkuu nakuja kulipa, kama unavyojua pamoja na Jf kuwa home of great thinkers but there are those who are not worth a title. sioni mantiki ya kujadili kauli ya Riz1 aliyoitoa Fb
 
Haya riz1 najua unajiandaa kubadilishana shida nasie 2015 mjengoni we uswazi
 
Hao wanatamani Mbowe awe Rais halafu kila mmoja aseme mie mjomba'ngu, mie shemeji yangu, mie kaka'ngu. Huwajui wachagga! Wapii?

Wanaona donge kwa Ridhwan, mwacheni mtoto wa Rais ajinafas.
 
Labda u special unakuja kutokana na kukwepa ukweli,,amezunguka zunguka tu kusema wajiangalie kwnn wameshuka anakwepa kusema clearly wapinzani/upinzani umepanda chart
 
Una akili wewe!, safi sana,hebu agiza ndovu baridi mkuu nakuja kulipa, kama unavyojua pamoja na Jf kuwa home of great thinkers but there are those who are not worth a title. sioni mantiki ya kujadili kauli ya Riz1 aliyoitoa Fb
Kama vipi potezea basi. Umeshakula ze laga unakunya hapa best wangu.
 
Unapokua na miaka 50 unapoteza uwezo wa kuona. ccm imechoka hakuna muda tena wa kujitathimini na kujiuliza. unakumbuka shuka kumekucha?
Hii ni kauli ya Ridhiwani Kikwete katika group ya Chadema vs ccm

"Kwa matokeo haya , sio kweli kuamini kuwa wapinzani wetu wanapanda, ila ni sahihi kujiangalia na kujiuliza kwa nini tumeshuka?"
 
Yale alioyasema jana Mh. Mwakyembe kuhusu ATC. Inabidi sasa chama tawala kijiulize, Je kimebebwa na wananchi kwa miaka mingapi? kama kimeshindwa kusimama imara na maisha bora kwa kila mtanzania ndani na nje ya nchi ni hakika kwamba kitang'atuliwa! It's just a matter of time.
 
hawatofautini sana na dingi yake
"WANAFUNZI WANAOPATA MIMBA MASHULENI NI KWA SABABU YA KIHERE HERE CHAO"
 
Tukijadili kauli, na sii mtu;

Kwa mtazamo wa haraka haraka yuko sahihi 50%
Mimi nadhani ni both ways, CCM kushuka ni kweli na pia upinzani (sio lazima iwe CDM pekee) kupanda ni kweli pia.

Changamoto iliyopo mbele yetu ni nani wa kutuongoza kuelekea nchi ya ahadi?
Sio bora kufika, ni muhimu sana tufike tukiwa bora!

Respect !
 
Back
Top Bottom