Kauli na maneno ya Tundu Lissu hayana tofauti na ya Mwalimu Nyerere wakati wa TANU

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Kwa sababu ya hali ya sasa ya kisiasa na hizi "harakati ma misukosuko" ya Mahakamani anayopata Lissu kwa kushtakiwa kwa kauli "tata",basi tutumie kesi hii ya Nyerere ili kujikumbusha kuwa haya mambo ya Lissu Vs Serikali hayakuanza jana tu,yapo hata kabla ya Uhuru

KESI YA HISTORIA
KESI DHIDI YA MWALIMU NYERERE KWA KUWATUKANA WAKUU WA WILAYA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Dar es Salaam.
TAREHE YA KUFIKISHWA MAHAKAMANI:-9/6/1958
JINAI N0.2207/58
HAKIMU:-L.A.DAVIS
MSHITAKIWA:-Julius Kambarage Nyerere
MWENDESHA MASHITAKA:-J.C.Summerfied, Wakili wa serikali.
MAWAKILI WA UTETEZI:-
1. D.N.Pritt Q.C.-Wakili kiongozi
2. Mahamoud Rattansey
3. K.L.Jhavery

WALALAMIKAJI:-F.B.Weeks (D.C.Musoma & Geita) na G.T.Scotts(D.C.
Songea)

Yahusu: YALIYOANDIKWA GAZETINI:- Kuwakashifu Ma DC Wawili wa kikoloni katika Gazeti la TANU toleo Na.58 la tarehe 27/5/1958.Nyerere
aliandika:-

‘’..Imetokeaje kuwa kila matata yakitokea yanafuatana na wakuu Fulani katika eneo Fulani?DC aliyekuwapo Musoma ni yule yule aliyekuwepo Geita wakati matata yalipozuka huko.Kazi yake kubwa ni kuanzisha mabaraza ya mseto kama kule Geita.

Chiefu maarufu Mohamed Makongoro Matitu alishitakiwa huko kwa sababu zisizokuwapo.Alihukumiwa, lakini rufani yake ilifaulu.Akashinda.DC huyo mwema anakataa chifu huyo asirudi kwa watu wake.

Wakati mmoja matata yalizuka huko Mahenge.Nilipouliza nikaambiwa kuwa DC aliyekuwepo huko alishaifunga ofisi ya TANU.Baada ya kuondoka kwake sijasikia matata yoyote huko.Anawachochea wananchi waisingizie TANU ishitakiwe...Jamaa hawa wanawaghilibu watu waape uongo kotini ili kuizingizia TANU.Jamaa hawahawa wanawapotosha watu na kuwaadhibu wasiokuwa na hatia.Jamaa hawa wanajidai kuhifadhi sheria na uatangamano.

Hatuihofii sheria,ikiwa polisi hawajiingizi katika mambo ya siasa na kuamuru kati ya watiifu na wengine pamoja na MAGAVANA WA MISITUNI, wanajidai kwamba sheria haiwahusu sababu ya hawa wenda wazimu kuwachokoza watu wafanye matata ni kuwa,hatushindwi tukiwa watii wa sheria.

Njama zao zimewatatanisha wenyewe walipofunga ofisi ya TANU.Ikiwa TANU haina dosari wataingiza ulaghai, uchochezi na fitina ili watimize shabaha zao za kishetani. N

aiomba serikali ya kibeberu itamke wazi kwamba inaishambulia TANU kwa sababu tumetangaza wazi bila woga kuwa serikali ya mabavu tutaipinga. Tutaishambulia bila kupumua mpaka tumeiangusha. Hatutashika silaha, hatutatumia udanganyifu.... Hatutavumilia uonevu.

Ndugu wananchi, jihadharini, adui anashindwa, anaanguka kwa sababu hana njia za kupinga kilio chetu.Njia yake ni moja tu nayo ni kutaka ghasia ili akatumie bunduki.Tusimpe nafasi hii. Msichochewe mkafanya ghasia na matata. Kaeni kimya na wachangamfu kama kawaida yenu.Adui atateketea bila shaka, nachukia kutawala binadamu kwa nguvu na udandanyifu kama vile maharamia na wajinga. Naona uchungu kwa wale wanaokandamizwa.

MASHITAKA YENYEWE
1. Kwamba; Julius Kambarage Nyerere unashitakiwa, kwanza, kukashifu DC Weeks wa Musoma katika makala yako ya ‘’Sauti ya TANU’’ Na.58 ya tarehe 27/5/1958.

2. Pili, Katika Gazeti hilohilo ulimkashifu pia DC Scotts wa Songea.

3. Tatu, Unashitakiwa kwa kuwakashifu kwa pamoja maafisa hao wa serikali kwa pamoja.

SWALI -Ni kweli au hapana

JIBU – Hapana

KUBADILIKA KWA MASHITAKA Tarehe 16/7/1958:-

Mwanasheria Mkuu wa serikali Bw.J.C.Cole alilazimika kufika Mahakamani yeye binafsi. Shitaka la kwanza liliondolewa. Shitaka la pili lilifanyiwa marekebisho.

UTETEZI WA NYERERE.
Alikiri kuwa yeye ndiye aliyechapisha gazeti la ‘’sauti ya TANU’’ N0.29. Kwamba maneno yaliyopo kwenye gazeti hilo yanayowahusu ma DC hao aliyaandika akiwa na lengo la kuitaka serikali itupie macho malalamiko ya watu. Alisisitiza kuwa chama cha TANU kilikuwa na wanachama 300,000 na lengo lake lilikuwa kutafuta uhuru bila machafuko.

HUKUMU 13/8/1958
Alipatikana na hatia ya makosa mawili ya kuwaita maDC ‘’mashetani na maharamia’’ Hakimu Davies alisema kuwa amegundua kuwa Nyerere ni mtu mwenye busara nyingi. Ni mtu mwajibikaji katika jamii. Halikuwa jambo la kawaida kutoa adhabu ya kifungo kwa makosa kama haya

’’na mimi sitaki kujitenga na desturi hiyo.Namtoza mshitakiwa faini ya
shs.3,000/= au kwenda jela miezi 6.Nampa mshitakiwa muda wa siku mbili
kulipa faini hiyo.’’

Baada ya hukumu hiyo kutolewa nyimbo na nderememo ziliikumba Mahakama ya Hakimu Mkazi.Kina mama ambao walikuwa wamezoea kuzingira jengo hilo kufuatilia kesi hiyo,walishangilia kwa msisimko na nderemo wakiongozwa na Bibi Titi Mohamedi.

Baada ya kupeana mikono na mwakili wake,Nyerere aliingia katika gari kurejea nyumbani akifuatana na makamu wake John Rupia na viongozi wengine wa TANU.

HUU UKAWA NDIO MWISHO WA KESI AMBAYO KWA MUJIBU WA MAELEZO YA RASHIDI KWAWA KAMA HUKUMU YAKE INGEKUWA KIFUNGO MOJA KWA MOJA HUENDA INGEANZISHA MACHAFUKO MAKUBWA.

Chanzo: Kitabu cha mahakama ya Tanzania na miaka hamsini ya uhuru, kesi dhidi ya mwalimu,ukurasa 36.
 
Nimejitahidi kuisoma yote, tunashukuru kwa kutuletea historia ambayo wengine hatukuijua. Na hatukuwa tumezaliwa.
Ila hakuna mahali ambapo unaweza kulinganisha kesi hiyo ya JKN na za TL. JKN hakuwahi kubadilika katika misimamo yake, hakuyumbayumba wala kunyenyekea viongozi waliokuwa wala rushwa. Na katika maandiko yake aliwataja ma DC kwa vyeo vyao, akaelezea makosa yao na mifano. In short, hakuwa mlopokaji.
TL hana msimamo, anabadilika kulingana na matakwa ya viongozi na ni mtu anaefuata upepo. Mfano mzuri ni kauli yake baada ya Lowasa kuchukua fomu ya kugombea urais ccm, na alichokifanya baada ya Lowasa kupitishwa kugombea urais na cdm. Vile vile anamkashifu mtu moja kwa moja kwa kumtaja jina, na jina lenyewe analitamka kwa dharau sana, kitu ambacho kibinadamu sio ustaarabu kabisa. Kauli zake zi za kujaribu kuwachonganisha wananchi na serikali, na anajitahidi kutengeneza hasira katika hisia za wananchi. Na anafanya mambo kutafuta sifa za kijinga.
Kwa hiyo level ya JKN na TL ni kama mbingu na ardhi.
 
Please Please Please. Msimfananishe Tundu Lisu an Mwalimu Nyerere hata kidogo hata kidodgo! Please!
 
Kweli kabisa! Mungu wangu utafananishaje Mbingu na Ardhi Mungu wangu!
 
Please Please Please. Msimfananishe Tundu Lisu an Mwalimu Nyerere hata kidogo hata kidodgo! Please!
Please please msimfananishe Nyerere na Magufuli kwani Mwalimu hakuwa mlopokaji na zaidi alikuwa na vision,ushawishi na mwenye upeo mkubwa sana!
 
Mh. Magufuli ameingiaje hapo? Actually ni replica wa mwalimu!
 
Back
Top Bottom