Kauli mpya ya magufuli inayoweza kuingia kwenye top ten za viongozi

Chenge

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
1,073
377
>mwananchi: " sasa waziri fidia inalipwa kwa wenye nyumba, na sisi wapangaji inakuaje? tunastahili kulipwa"
>
>Magufuli: "Jenga ya kwako, tena we daktari huna nyumba"
>
>mwananchi2: "sasa waziri, huoni kwamba ni usumbufu kwa watanzania wenye hali ya chini kuvunjiwa nyumba na kuanza kuhangaika kutafuta pa kuishi, hivyo tufikirie kutufidia kidogo"
>
>Magufuli:"Kama unaona tanzania tunakusumbua hamia kenya"
 
Mkuu weka source of this information.

Sio kwamab sikuamini, lakini ni vema kujua ukweli ya hii habari.
 
Mkuu weka source of this information.

Sio kwamab sikuamini, lakini ni vema kujua ukweli ya hii habari.
chanell ten wakati wa ukaguzi wa barabara namanga _arusha,Mkutano wa hadhara na wananchi
 
Majibu ya shot cut kama ya lodilofa yanatokana na ulevi wa madaraka
 
Jamaaa nampendaa anafanya kazi ila taizo lake ni hilo tu anaongea sana alafu maneno ya dharau kama hayo sasa
 
nilikuwa kwenye huo mkutano,kiukweli jamaa ni bandigu sana,cjui akipata upresee atakuwaje???
 
mnamwonea udaktari mzima ujajenga ina maana mnaendekeza serikali angekuwa mimi kila mfanayakazi anayelipwa 3 million alafu ajajenga ningemtimua
 
Jamaaa nampendaa anafanya kazi ila taizo lake ni hilo tu anaongea sana alafu maneno ya dharau kama hayo sasa
jamaa ni mzuri ila huu ni udhaifu mkubwa kuliko ubora wa kazi yake, pengine itakuja kumgharimi siku moja !
 
Jamani Magufuli tumsamehe kwa bure huyo ndo Msukuma asilia ukipenda unamwita wa jadi! Ulishawahi kuongea na Msukuma mwenye ng'ombe zaidi ya 200? Haki ya nani utachoka! Majibu ya mkato kwa kwenda mbele!
 
Mkuu weka source of this information.

Sio kwamab sikuamini, lakini ni vema kujua ukweli ya hii habari.

hii ni nukuu kutoka namanga mpakani mwa tanzania na kenya akiwahutubia kuhusu upanuzi wa soko la pamoja mpakani, mi mwenyewe ni shahidi kama vipi ngoja nikaitafute video yake niitundike hapa jf, ama kama vipi unaweza kuwaomba tbc watukupa video yake
 
Back
Top Bottom