kauli mbiu ya wanawake wa kizazi kipya

Mwanaume hasifiwi sura anasifiwa kuingi benki kutoa na kuweka pesaaaa ingekuwa ni sura bas Pindaaa asingeoa
 
Jamani, tumshukuru sana Mungu kwa uumbaji wake, hakuna anayependa kuzaliwa hivyo, yote ni uumbaji wa Mungu, sura sio chochote kinachohitajika ni tabia njema na hofu ya Mungu tuu! Acha kumkosoa Mungu kwa uumbaji wake!
 
Duh umeongea maneno ya ukweli kabisa...mungu akubariki
 
Back
Top Bottom