Katuni hii imefikisha ujumbe

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
watanzania jasho la damu litatutoka kwa Dowans. Mishahara hakuna wafanyakazi wa serikali. Hazina ni kavu. Na ukipata utalipiwa dirishani. Je kwa ugumu huu wezi watawaacha wafanyakazi?


Katuni Jan 19.jpg



Je tutafika na Rais keshaanza safari za nje???????????
 
Mwaka huu nadhani tunaelekea kula nyasi kama baadhi ya viongozi walivyonena kitaambo,jamani lets kneel down to ask for GOD assistance mana this is too much boring...nawasilisha
 
Message delivered but I'm not sure kama imesomwa because the big man is on world tour to refresh his mind!!
 
hivi ni kweli mishahara inatolewa madirishani kwa wafanyakzi wote au ni baadhi???? du hii nchi ishauzwa sasa.
 
Back
Top Bottom