Katrina, Hidaya nk, anayetunga majina ya vimbunga ana watoto wa kike tupu?

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Mara zote inatokea vimbunga kuwa na majina ya kike.

Ni nani hutunga majina haya?

Kama ni mtu mmoja, huenda basi ana watoto wote wa kike, au ni dume fulani linapenda mademu kwa sana!

We unaonaje?
 
Back
Top Bottom