Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

Young fadson

JF-Expert Member
Nov 6, 2017
733
774
Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu,

Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk kituo nlichopigia kura, hayakushabihiana hata kidogo na matokeo nliyoyayaaikia redioni (jecha style)

Haitoshi; hata siku izi mambo yamegoma kabisa kubadilika, bado kura zinazopigwa haziendani na zile zinazotangazwa, wachungaji hutambua hilo lakin ajabu hawajawahi kuwafukuza sehem za ibada hasa kipindi ha harambee,

Samia
Mwiguru
Kakamba
Nape
Lowasaa nk. Hawa ote ni saham ya mfano kwa MUSSAna wana wa Israel?
 
Yaani waliokulea walikuwa wanna CCM? Sasa kukuaminisha kwamba viongozi wanachaguliwa na Mungu walikuwa na uelewa kweli?
Sasa umekua unaelewa viongozi wetu wanachaguliwa ma wizi wa kura ebu rudi kwa waliokuamisha uongo uwape elimu.
 
Kama bado wapo basi ni wachache sana, wengi wao wanachaguliwa kihuni huni tu, hasa nchi zetu za kiafrica.
 
Hiyo ilitumika kama mbinu ya kuwakinga dhidi ya criticism kutoka kwa wanaowaongoza kwa sababu wengi wamepumbazwa kwa kuaminishwa kuwa huruhusiwi kuhoji maamuzi ya mungu. Mtu kama Nape unaweza sema kachaguliwa na mungu gani?? au mama kizi mkazi??
 
Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu,

Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk kituo nlichopigia kura, hayakushabihiana hata kidogo na matokeo nliyoyayaaikia redioni (jecha style)

Haitoshi; hata siku izi mambo yamegoma kabisa kubadilika, bado kura zinazopigwa haziendani na zile zinazotangazwa, wachungaji hutambua hilo lakin ajabu hawajawahi kuwafukuza sehem za ibada hasa kipindi ha harambee,

Samia
Mwiguru
Kakamba
Nape
Lowasaa nk. Hawa ote ni saham ya mfano kwa MUSSAna wana wa Israel?
Labda mungu na siyo MUNGU
 
Wachungaji ndo walinaminisha ivo, walisema "mamlaka zote duniani huwekwa na MUNGU" tena wakasisitiza ni lazima tuheshim mamlaka.

Apo unapaonaje, ukikutana na mzee wa kanisa akakpa hizi story utamwambiaje?
Yaani waliokulea walikuwa wanna CCM? Sasa kukuaminisha kwamba viongozi wanachaguliwa na Mungu walikuwa na uelewa kweli?
Sasa umekua unaelewa viongozi wetu wanachaguliwa ma wizi wa kura ebu rudi kwa waliokuamisha uongo uwape elimu.
 
Hiyo ilitumika kama mbinu ya kuwakinga dhidi ya criticism kutoka kwa wanaowaongoza kwa sababu wengi wamepumbazwa kwa kuaminishwa kuwa huruhusiwi kuhoji maamuzi ya mungu. Mtu kama Nape unaweza sema kachaguliwa na mungu gani?? au mama kizi mkazi??
Kwakua kauli za kwamba mamlaka zote huwekwa na MUNGU hutolewa na wachungaji, wakinukuu maandiko ktoka ktk vitabu vya dini, je duendelee kuamin haya maandiko?
 
Back
Top Bottom