Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,568
- 65,413
I mean 32yrs old
Nimekuelewa mkuu, asante.
I mean 32yrs old
Asante, mie mwenyewe muarabu wa tz....heheheee
Ila kiukweli waarabu watu poa sana, mfano uncle wangu Zamiluni Zamiluni...nawakubali sana.
Nitakaribia mkuu. ..tuombe kheri Inshaallah.Karibu Sana uarabuni uje ujifunze mila na desturi zetu
Rene Meza anaondoka si kwa matakwa yake katia hasara kubwa mnooooo so ni pressure kubwa anayotiwa ndio inayomsababisha kukabith na watanzania ndio walioipiga pesa ndefu Vodacom Rene Meza hawez wasahau technicians wa kibongo ni hatari kuliko wengi wahisivo:mod:
Mashallah.Acha uongo wewe, hiyo pete aliyovaa ni ya nini?
Hata hivyo binafsi siwapendi wahindi, labda waarabu.
Mashallah.
Mkuu this kid is 32 years old! Ni nani hapa bongo anaweza kupewa kampuni kwa umri huo?!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mimi namkubali na inabidi ifike mahali tufikie hapo. Sisi wenyewe na vijana wetu tunamiliki nini hasa au hata kuongoza ni kipi tunaongoza?? Kuna yule Kevin Twissa anaonekana yuko vizuri tu lakini kwa sababu ni meneja masoko basi tunaona kashafika kamaliza. Lakini pia kwa sababu hatumiliki hizi kampuni nadhani hatuwezi kulaumu sanaKumbe kuongoza, nilijua kumiliki.
Nitakuheshimu kama unamiliki ila sio kuongoza.
Mkuu this kid is 32 years old! Ni nani hapa bongo anaweza kupewa kampuni kwa umri huo?!! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni mimi namkubali na inabidi ifike mahali tufikie hapo. Sisi wenyewe na vijana wetu tunamiliki nini hasa au hata kuongoza ni kipi tunaongoza?? Kuna yule Kevin Twissa anaonekana yuko vizuri tu lakini kwa sababu ni meneja masoko basi tunaona kashafika kamaliza. Lakini pia kwa sababu hatumiliki hizi kampuni nadhani hatuwezi kulaumu sana
Ahaa nimekuelewa kaka, kumbe kuajiriwa ni udhaifu mkubwa sana! Nakubaliana na wewe ni bora umiliki mashine ya kukoboa ukobolee watu kuliko kuwa CEO wa Microsoft au hata Raisi wa nchi maana hizo ni ajira tu.Mzee inaelekea una mawazo ya kuajiriwa sana.
Miliki mashine ya kukoboa mpunga nitakuheshimu ila hata ukiwa CEO wa Microsoft utakuwa umeajiriwa tu.
Hao wameajiriwa tu.
Wewe ndio umeongea point Hisa ndio kila kitu kwenye kampuni hata kama kampuni ni ya bibi yako kama hauna hisa za kutosha unaachia kampuni kwa wenye mabavu yaoKwahiyo hawa kachori ndio wana bahati,mi nlidhani wabongo wenzetu!!
Embu turejee kwenye umiliki wa kampuni yenyewe kwanza,hawana hisa kubwa hawa watu???kama wanazo hisa ulitegemea nini mkuu???
Ahaa nimekuelewa kaka, kumbe kuajiriwa ni udhaifu mkubwa sana! Nakubaliana na wewe ni bora umiliki mashine ya kukoboa ukobolee watu kuliko kuwa CEO wa Microsoft au hata Raisi wa nchi maana hizo ni ajira tu.
Hard work pays..ni suala la kufanya kazi kwa discipline tu
I was being sarcastic ila wewe utakuwa umenielewa vizuri kabisa.Kinachotakiwa ni mtu binafsi kuona how much unaingiza kwa siku. No matter umeajiriwa au umejiari, usije kataa kazi kwa mfano ya kulipwa Tsh 50,000/- kwa siku kwa sababu tu unamiliki kibanda cha mama ntilie kinacho kupa Tsh 20, 000/-. Kimsingi uwe unamili kampuni au umeajiriwa zote ni kazi tu (ajira) tofauti iliyopo ni kwamba job description ya upande wa kuajiriwa inasimamiwa na mtu mwingine. Ofcourse kuna mengi ya kufafanua ila all in all ni kwamba kujiajiri kupo na kuajiriwa kupo.