Katika katiba mpya

Joseph M. Bahayile

New Member
Dec 2, 2013
4
3
Katika katiba mpya itafaa sana kama kutabainishwa ukomo wa mikataba inayosainiwa na viongozi wetu akiwemo RAISI, WABUNGE na WENGINEO. Itakuwa beneficial sana kama mikata wowote ule usipozidi miaka mitano ili kuweza hata kutafakari maendeleo ya mkataba husika na matunda yake, vile vile kuweza kuchukua uamuzi wa kuendeleza au la!

Nyie mwaonaje wadau?
 
Back
Top Bottom