Katika hili serikali iwe makini sana

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
12,031
6,792
"Liwalo na liwe" ni kauli ya waziri mkuu, ni kauli inayoonesha kuwa selikali itaamua maamuzi magumu ktk utatuzi wa mgomo wa ma dr.

Niitahadharishe selikali kuwa makini ktk maamuzi yatayochukuliwa kwani kuna uwezekano mkubwa maamuzi hayo yakachochea wauguzi nao kuingia ktk mgomo!
 
Back
Top Bottom