Katibu wa CCM Iringa mjini ndani ya Ebony FM

Apr 29, 2012
81
4
Katibu wa ccm Iringa mjini Mr.Luciano Mbosa,yupo studio za Ebony fm akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo chama na matarajio yao kwa uchaguzi mkuu ujao.Pia amewataja CDM kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa zilizotokea maeneo ya Nduli,ambapo watu kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.
 
yani hata anavyoongea anaonyesha wazi akil zake znamgawanyko au mpasuko kama chama chake.
 
Katibu wa ccm Iringa mjini Mr.Luciano Mbosa,yupo studio za Ebony fm akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo chama na matarajio yao kwa uchaguzi mkuu ujao.Pia amewataja CDM kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa zilizotokea maeneo ya Nduli,ambapo watu kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.

Wewe ulitaka aseme CCM ndiyo chanzo cha vurugu kule Nduli?
 
Fanya mchezo na ajira ya mtu anatetea chakula chake hapo.Lakini anajua roho yake ipo wapi.
 
Hivi huyo Mbosa ndiye yule alikuwa anafanya biashara ya pembe za ndovu miaka 90s?
 
Katibu wa ccm Iringa mjini Mr.Luciano Mbosa,yupo studio za Ebony fm akizungumza mambo mbalimbali yahusuyo chama na matarajio yao kwa uchaguzi mkuu ujao.Pia amewataja CDM kuwa chanzo cha vurugu za kisiasa zilizotokea maeneo ya Nduli,ambapo watu kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.
Ahhhh nilidhani "KATIBU WA CCM IRINGA MJINI NDANI LUPANGO" eti kumbe redioni!
 
Nilimsikiliza beatiful sana UYO KATIBU ASIYE SOMA ALAMA ZA NYAKATI ANGESOMA ALAMA ZA NYAKATI INGEMHELP bt hana jipya sabu yeye anazani wanairinga mabwiga kama yeye kwa hali hii ya sasa mtu mzima unaonekana unakelea ccm unasikikitisha sana sana na ata kama umesoma utaonekana mbumbumbu wa kutupwa.
Msaada wa bule kila mmoja ajaribu kusoma alama za nyakati.sababu sasa ni wakati wa democrasia na maendeleo ndio maana watu wa sasa wanafunguka katika chama cha democrasia na maendeleo.
PEOPLE TAKE ON MAWAZO YENU KWAMBA NYERERE ALIKUWA NA MISION YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA .
Na SISI TUNAFUNGUKA NA DEMOCRASIA NA MAENDELEO SASA UYO KATIBU WA CCM NAZAN ANAMATATIZO YA KUTOSOMA ALAMA ZA NYAKATI.
Nimetililika sana na2maini kwamba nimeneneka vzr 2?
 
Back
Top Bottom