Katibu wa CCM, Comrade Kinana kuongea na vyombo vya habari saa nne Lumumba

Status
Not open for further replies.
Pata raha tu mkuu siasa za bongo wako pale kozi wanalipwa wangekuwa hawalipwi usingewaona pale kuonyeshwa bastora bongo mbona kitu cha kawaida eti mtu leo anapaniki alafu alafu tunaanza kumpigia promo
Ngoja tusikie na Kinana naye atasema nini hahahaha, mie ndio maana sipendi siasa
 
Aliandika barua ya kujiuzuru kinana,jana nimezungumza lakini wamepuuza...
Hata asipo tolea ufafanuzi leo lkn huo ndio ukweli hata nape alizuiliwa kwa ajili ya kusema hivyo kwa aliandika barua..

Naendelea kufatilia mawasiliano ya sizonje na anao wasiliana nao!

Muda utaamuamua tukutane lumumba!!
 
Tuache maneno weka muziki, Watanzania kusubiri embe chini ya mnazi hatujambo kweli!
 
Maskini Chadema, wiki yote mnakimbizwa mchakamchaka, Saaizi mnawahi kusikiliza Kinana atasemaje.yaani Chadema wana hofu kuliko CCM.
Nawakumbusha CCM haitoanguka kwenye uchaguzi kwakuwa Nape hayupo. Kama CCM hawakuanguka wakati anaondoka Augustine Mrema sijaona mwingine wa kuitikisa CCM.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom