Katibu Mkuu wa CCM Mukama ni kiongozi shupavu

Saranda

Member
Jul 4, 2012
53
8
Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu
 
kweli kabisa hata mimi nimemkubali. Aje kusaidia hapa DMV maana CCM hapa wanapigwa vita na watu waliojificha gizani, sijui wanafaidika nini
 
Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu
Ni ukweli usiokuwa na ubishi viongozi wote wa ccm ni SHUBAVU sio mukama Peke yake hata mwenyekiti wao Na Nape lakini sio Viongozi SHUPAVU
 
Leo usirudi lumumba kudai chako kwani hutapata chochote utaishia kutukanwa na wakina Nape kwasababu umewaita SHUBAVU
 
Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu

sera aliyoingia nayo ya kuvua magamba iliishia wapi?
 
lakini yote mia SHUBAVU kuliko wote ni NAPE, then Makamba (Senior), Chiligati bora kidogo hakuwa SHUBAVU sana yeye alikuwa na busara
 
Angekuwa SHUPAVU Mukama asingeitwa mzigo kwa ccm na wenye chama!! He will be well advised to retire to his home village peacefully!!
 
Hata mimi namuaombea maisha marefu na utumishi mrefu ndani ya CCM. Wanasema "Do not interrupt your enemy when he's making mistakes"
 
Kwa wale wanaoweza kuchanganua masuala ya kijamii na kisiasa ni dhahiri kwamba toka katibu Mkuu Wilson Mukama, utendaji ndani ya CCM umekuwa na tija. Komrade Mukama ni kiongozi shubavu, mwenye busara na anaesikiliza sana na kuongea kidogo. Ana sense of humor as well as wisdom. Tunamuombea afya njema na maisha marefu
Kweli ni kiongozi shubavu, ndio maana tangu aingie na sekretarieti yake speed ya ccm kuingia kaburini imeongezeka!
 
Ni political CEO mzuri hapa nchini kwani ana upeo mzuri wa political management>. Tusiwe na mitizamo ya kifitina au kichonganishi au kishabiki bali tuangalie historia yake katika utendaji
 
Back
Top Bottom