We Tapeli tuheshimiane, hii ID hana interest za kihuni, mie nimechangia Independently, na nimeona huyo mleta uzi amekubana kisawasawa kwa kila hoja, sasa usinizuushie , ukizoea kuiba huwezi kuwaamini wenzako kwani utadhani wote ni wezi kama wewe, fuatilia hii akaunti yangu ujue inatoka wapi mwehu wewe.Hahaa naona unazidi kuhama hama kama mhudumu wa baa,
Ungetulia kwenye ID yako ya kwanza ungeeleweka tu,
Laana za inazidi kukuandama, vumilia hayo ndio matokeo ya mimba za mbio za mwenge,
Mimi ni kama jua, utake nitakuwakia, usitake nitakuwakia,
Siishi kwakubahatisha, Kamuulize mwenyekiti wako atakwambia!
Ili sie wachangiaji wengine tukuelewe, Thibitisha kuwa wewe ni Kijana wa Msambila marehemu au siyo?
Wewe na Familia ya Mwalimu mna-uhusiano gani hata wa ujirani mwema tu?
Ukipitia line hiyo mbona huyo MwanaDiwani ataumbuka kweupe tu, na watu watakuunga mkono kwa kuchangia.
Onyo: Mwana Diwani simjui ila alichokiandika kinajitosheleza na wewe tuweke wazi sasa.