Katibu Mkuu mpya CHADEMA yuko wapi?

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
3,283
3,274
Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?

Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.

Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
 
Unasemaje kiatu kimempwaya.
Katibu Mkuu wa Chadema na Chadema yenyewe ndio yenye wajibu wa kulinganisha nani zaidi ktk utekelezaji wa majukumu ya nafasi hiyo

Nakushauri tafuta kazi ya kufanya na kama huna nenda Kijijini ukatekeleze kauli ya Mhe Rais ya "Watu wakalime tu"
 
Jamani yuko chemba anakokotoa mambo/mikakati kuweni wapole kwa mda basi.
Mambo mazuri hayataki haraka.
 
Sasa Mbowe amedhamiria kuimaliza CHADEMA huku wafuasi wa CHADEMA walikiendelea kumpigia makofi kama kawaida yao.Makosa yalianzia BAWACHA,strategically speaking Mdee wasn't a smart choice at all,CHADEMA had other better choices to choose from, for example Lilian Wassira, she was the best candidate for the job. She has got a great appeal,an amazing personality and great communication skills. Kosa likahamia BAVICHA,Mwenyekiti wa sasa hakuwa chaguo bora na amedhihirisha,BAVICHA ya sasa imepooza sana. Mtiririko wa makosa ya Mwenyekiti ukahitimishwa kwa Katibu mkuu. Kila dalili zinaonyesha CHADEMA ndio imepoteza mwelekeo rasmi hivyo.
 
Kwenye siasa hakuna usomi ni mbinu mkakati. Lema wa arusha na Sugu wa Mbeya wana usomi gani? Mbowe mwenyewe ana usomi gani?

Huyu amewekwa na mwenyekiti MBOWE kama rubber stamp yake tu walimpamba sana na elimu kubwaaaa

Kwa mara nyingine tena CDM imefanya kosa kubwa
Mashinji (Manywele) amewekwa pale na Mbowe lengo likiwa eti kujaribu kukipa chama mwonekano wa kitaifa na kukivua lile vazi la aibu la Uchaga na Ukaskazini (ukabila na ukanda). Kwa njia hii anafikiri pengine 2050 ataweza kupunguza kipigo cha mbwa mwizi alichokipata kanda ya ziwa kwenye uchaguzi uliopita. Le akili ndogoz...!
 
Uzuri wa wanaojitekenya wenyewe hapa na kucheka wenyewe ni magamba ya Lumumba wiki jana ilikuwa

lissu,,, wiki hii wamehamishia kwa Kwa
Dr Mashiji

wiki ijayo watarudi kumchambua Lowassa ,, wanajua Ccm imeshazikwa siku nyingi !!!

Na Huyu anayetipua Majipu badala ya kupambana na Ufisadi. Wanajua ni mwepesi kama nniii..
Simiyu Lizabon Hapa mbwembwe tuu !!
 
Mpaka sasa yupo sawa kama walimstukisha hio. Kazi.lazima ajiandae na kuweka. Mikakati
 
Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?

Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.

Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
Umefika Ofisini kwake hayupo?Au kufanya kazi lazima kila saa awe magazetini?Kazi ya Katibu Mkuu ni nini?Na Afisa habari je?
 
Tuliambiwa kuwa jamaa ni mpishi wa migomo. Huwezi andaa migomo kwa makelele hadi muda wa utekelezaji.

Nashauri apewe muda ili tuone ataanza na mgomo upi.
 
Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?

Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa anaonekana kama kiatu kinampwaya.

Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
Yupo ofisin kwake na muda mwingi kwa sasa anapewa semina elekezi . Uzur Katibu wetu mkuuu anajitambua hapendi sifa au ulikuwa unataka umuone akishtukiza kama hao viongoz wenu wa Lumumba.
 
Mlisemaga hivyo na JK kuwa vyama vya upinzani ni vya msimu mzigo ulivyopigwa mkaomba msaada jeshi la polisi kwa mwamvuli wa kibali wakati sheria inasema taarifa. Katibu mkuu wenu kazimika mazima toka magembe ateuliwe kwenye mbuga fafanueni kauli ya magembe baada ya kuapishwa nyie mavivu, ombaomba wapiga mizinga meeen
 
Back
Top Bottom