johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,119
Katiba ya JMT 1977 haina Ubaya wowote bali Binadamu wanaoitumia ndio waovu.
Chukulia mfano wa akina Halima Mdee na wenzake ambao wanajua kabisa mule Bungeni wako isivyo halali lakini wamekomaa bila aibu.
Spika wa Bunge anajua kabisa kama Taifa tunaandika historia mbaya kwa vizazi lakini yuko kimya.
Kama unasema Katiba ni mbaya nitajie kifungu cha Katiba kinachohalalisha Halima Mdee na wenzake wawepo Bungeni.
Tunaposema watoto wadogo wasikae bweni bali wakae nyumbani wafundishwe Maadili na Wazazi wao tuwe tunamaanisha, hawa Wabunge 19 ni Wazazi pia, watoto wao watajifunza nini
Katiba Mpya zaidi ya kupeana Vyeo vya Siasa haina lolote, tujikite kwenye Maadili Mema tu tukianza na Wanasiasa ambao ndio kitovu cha Uovu Duniani kote.
Jumaa kareem!