Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Raisi Uhuru Kenya wa Kenya akilalamika kwamba Rushwa imezidi na kusambaa kila mahali analaumiwa na kila mtu kwamba anapaswa awashughulikie lkn na yeye cha ajabu analia pia na kulalamikia Mahakama sijui Mwanasheria Mkuu mara Mkaguzi Mkuu wa Mahesabu na blah blah!
Raisi Uhuru Kenya naye akilia kwamba Rushwa imemshinda kuiondoa/kuipunguza!
Raisi Uhuru Kenya naye akilia kwamba Rushwa imemshinda kuiondoa/kuipunguza!