Katiba Mpya Mali - Deputy CJ Matatani

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,941
9,947
Wana JF kuna sakata hapa Kenya ambapo Naibu Jaji Mkuu anatuhumiwa kumdhalilisha mfanyakazi mmoja kweny mall. Polisi wamependekeza D-CJ Ms. Nancy Baraza ashitakiwe na Mwendesha Mashitaka wa Serikali Bw. Kiriako Tobiko anasema kesho atatoa uamuzi kama Nancy Baraza afunguliwe mashtaka ama la. Mambo yote yanafanyika kwa uwazi sana. Nakimbuka kuna sakata ya Jaji Rugazia ambaye alisababisha ajali lakini sijui mwisho wake ulikuwa nini, mambo yamekuwa yakienda kimyakimya.

Wenzenu Wakenya wanafurahia katiba mpya mambo yote hadharani hakuna kuoneana aibu. Kama imechemka inachanwa live.

Jamani Katiba mpya utatulete ukombozi.
 
kwahiyo yule alisema tupige mbizi kigamboni katiba mpya inaweza ikamtoa kwenye uwaziri
 
Back
Top Bottom