Kati ya mambo haya, ni jambo gani linalokuvutia?

1. Bedball(mazoezi ya kitandani).
2. Football.
3. Handball.
4. Valleyball.
5. Basketball.
Kwa upande wangu navutiwa na Football hasa ya nchi zilizoendelea. Karibu sana kueleza ni mchezo gani kati ya iliyopo hapo juu unaokuvutia.

Kufukuza kuku!
 
Sasa wakijua napiga karate juu ya hiyo wataniitaje?
Nwy siogopi yanayosemwa, nnachoweza kuogopa ni mawazo yangu mwenyewe.

kareti?
Mi hapana taka hiyo kitu, kwanza karate haifui dafu kwa kipande cha nondo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom