Kati ya Livingstone Lusinde wa CCM na Tambwe Hiza wa CHADEMA nani anaongoza kwa madongo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
Ukiwasikiliza wote ni wazuri katika Utani, Kushushua, Kupiga madogo, Kutoa maneno ya Shombo na Kuchekesha kwa vituko vyao pindi wanapokuwa wanazungumza mbele ya hadhira / umma lakini inakuwa ni ngumu sana kusema kati yao nani yupo juu ya mwenzake.

Je Wewe bila kuweka ' Ukada ' wako na ' Mahaba ' yako ya Kichama / Kisiasa unadhani ni nani kati ya Livingstone Lusinde wa CCM na Tambwe Hiza wa CHADEMA anaongoza kwa kupiga ' madongo ' ya maana, yanayosisimua na kufurahisha hadi kuvunjika mbavu?

Karibuni mtiririke na mserereke tafadhali.

Nawasilisha.
 
Tambwe ni mtoto wa mjini, huwezi mfananisha lolote na mshamba kama huyo Kibajaj.

Una uhakika na ulichokiandika hapa Mkuu? Kwa taarifa yako basi kati ya hao Wawili hakuna Mtoto wa Mjini tena wa ' Kindakindaki ' kabisa kama Livingstone Lusinde ' Kibajaji ' na huyo Tambwe Hiza amekuja ' down town ' tunamuona na kumpokea pale Stesheni na Treni ya Bara miaka ya 90 hivi huku akiwa kavaa ' Kandambili / Malapa ' tena kayageuza.
 
Duu sio kwa mipasho hii au ni lusinde mwenyew nin
 
Back
Top Bottom