Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Wakili Kibatala anasimama na ACT Wazalendo

Amin amin nawaambia... Tume Huru nje ya Katiba ni nia ovu zaidi!
1647352194059.jpeg
 
Kwa sasa Kuna mjadala wa kipi kianze Kati ya katiba ya wananchi na Tume huru ya Uchaguzi.

Mvutano mkubwa unaonekana katika vyama viwili vya ACT Wazalendo na Chadema.

ACT Wazalendo wanataka ianze Tume huru ya Uchaguzi katika kuiendea katiba mpya na Chadema wanataka katiba mpya kwenye kuiendea Tume huru.

Mawazo yao yamewaingiza katika uadui mkubwa huku upande wa ACT Wazalendo ukijenga hoja ya kwanini ni muhimu kuanza na Tume huru na Chadema wakiwangooshea vidole na kuwatukana wakati mwingine kuwa wanatumiwa na serikali kuihujumu

Katika hatua hii Kuna makundi ya watu wenye ushawishi wametoa maoni yao.

Miongoni mwao ni Maria Sarungi kupitia bunge la Space anayetaka katiba mpya kwa kuungana na Chadema

Lakini wote hao hawasemi wataifikia vipi katiba mpya kutoka katika kura za wananchi hadi tume ya Sasa yenye jukumu la kuhesabu kura za maoni zitakazopigwa.

Kwa upande wa ACT Wazalendo,mawazo yao yanaungwa mkono na wanasheria nguli wa Chadema, Peter Kibatala na Tundu Lissu kuwa ni muhimu kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya huku wakielezea sababu zao.

Kibatala amesema katika moja ya mahojiano na Clouds Tv kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba ya Jaji warioba inataja tume ya uchaguzi ya Taifa NEC na ZEC kuwa ndiyo watakaosimamia kura za maoni kwenye kuipata katiba mpya.

Anasema hiyo tume isipokuwa huru hata wananchi asilimia 98 wakiwa wamepigwa kura ya kuidhinisha katiba mpya tume hizo zinaweza kupindisha ukweli na wananchi wakapoteza haki zao.

Pia Tundu Lissu kwa mlango wa Nyuma amesema mchakato wa Katiba uanze na ikiwa itafikia Uchaguzi wa 2024-25 katiba ikiwa haijaakamilika basi iundwe Tume huru,itakayosimamia Uchaguzi huo.

Kauli yake hii ambayo kwa namna moja ama nyingine imebeba tahadhari zote za kuzuia ukosolewaji ndani ya chama inaashiria wazi tamanio lake ni kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya.

Kwa hiyo utaona mitazamo ya ACT Wazalendo na hao wanasheria nguli kwa pamoja kwao muhimu ni TUME huru Kwanza kabla ya Katiba.

Na Kibatala amekuwa muwazi zaidi katika hili tofauti na Lissu,anayesema chaguo lake kwa kuzunguka
Tume huru inatusaidia nini ikiwa bado Polisi wanakuja na mitutu na kuondoa mawakala vituo vya kupigia kura?

Hili nalo linahitaji Akili ya chuo kikuu?

Katiba mpya iwafanye watu wa stick kwenye viapo vyao.

Watu wa kusimamia haki wasimamie haki.

Tuache kiini macho.,
 
ccm wenyewe hawataki Katiba Mpya wala Tume huru🤣🤣🤣
 
Unaweka mada muhimu kama hii kishabiki?

Sasa hiyo 'Tume Huru' itapatikana vipi, husemi!
 
Mtazamo wangu ni kuwa na Katiba mpya kwanza itakayojenga mifumo na taasisi huru ili tume huru iweze kufanya kazi kama ilivyotarajiwa. Kenya walifanya hivyo, Ghana wamefanya hivyo na S.Africa pia

Swali ambalo ACT-Wazalendo hawalijibu ni moja. Kwamba, wakati huo wakiwa CUF ya maalimu walikuwa na tume huru ikishirikisha CCM na CUF. Uchaguzi wa 2015 Jecha alibanwa na tumbo akachukuliwa na vyombo husika akatengenezewa mazingira husika hadi leo ni ''celebrate'

CUF hawakuweza kwenda Mahakamani, hawakuweza kupata haki yoyote ile kwasababu mifumo iliyopo bado inailinda CCM.

ACT wanapodai tume huru leo yale ya 2015 na Jecha wanatueleza nini?

Pili, Marhum Maalim Seif alitaka katiba mpya. VP Othman ni muumini hasa wa katiba mpya
Duni Juma, ni muumini wa katiba mpya na ndiye kiongozi wao kama Zitto

Nini kimewakumba leo hawaoni umuhimu wa katiba waliyoitaka miaka iliyopita kiasi cha kutaka tume na hata kujiunga na akina Mrema na Hamada ku sabotage jitihada za kudai katiba?

Yes, ku sabotage kwasababu ukikaa meza moja na Makada hawa wa CCM; Mkandala, Mutung' , Alhad, Hamad Rashid ni kuhalalisha dhulma tu kama ACT inavyojitahidi sasa hivi.

JokaKuu
 
Tume huru inatusaidia nini ikiwa bado Polisi wanakuja na mitutu na kuondoa mawakala vituo vya kupigia kura?

Hili nalo linahitaji Akili ya chuo kikuu?

Katiba mpya iwafanye watu wa stick kwenye viapo vyao.

Watu wa kusimamia haki wasimamie haki.

Tuache kiini macho.,
Watu wanataka short cuts...
Tupite njia sahihi hata kama ni ndefu...
Mchakato wa Katiba Mpya uwatangulize wananchi na si wanasiasa. Na uje sambamba na maelezo jinsi ya kuwapata wajumbe huru wa bunge la Katiba na utaratibu wa kupiga kura, kusamamia, kuhesabu na kutangaza matokeo ya kura.
Obviously tume ya uchaguzi inayoteuliwa na Rais haiwezi kuwa msimamizi huru wa uchaguzi halikadhalika maoni ya wananchi juu ya katiba mpya!

NB: Tujiepushe kuwatanguliza wanasiasa kwenye huu mchakato.
 
Mtazamo wangu ni kuwa na Katiba mpya kwanza itakayojenga mifumo na taasisi huru ili tume huru iweze kufanya kazi kama ilivyotarajiwa. Kenya walifanya hivyo, Ghana wamefanya hivyo na S.Africa pia

Swali ambalo ACT-Wazalendo hawalijibu ni moja. Kwamba, wakati huo wakiwa CUF ya maalimu walikuwa na tume huru ikishirikisha CCM na CUF. Uchaguzi wa 2015 Jecha alibanwa na tumbo akachukuliwa na vyombo husika akatengenezewa mazingira husika hadi leo ni ''celebrate'

CUF hawakuweza kwenda Mahakamani, hawakuweza kupata haki yoyote ile kwasababu mifumo iliyopo bado inailinda CCM.

ACT wanapodai tume huru leo yale ya 2015 na Jecha wanatueleza nini?

Pili, Marhum Maalim Seif alitaka katiba mpya. VP Othman ni muumini hasa wa katiba mpya
Duni Juma, ni muumini wa katiba mpya na ndiye kiongozi wao kama Zitto

Nini kimewakumba leo hawaoni umuhimu wa katiba waliyoitaka miaka iliyopita kiasi cha kutaka tume na hata kujiunga na akina Mrema na Hamada ku sabotage jitihada za kudai katiba?

Yes, ku sabotage kwasababu ukikaa meza moja na Makada hawa wa CCM; Mkandala, Mutung' , Alhad, Hamad Rashid ni kuhalalisha dhulma tu kama ACT inavyojitahidi sasa hivi.

JokaKuu
Jana waliambulia majibu yao ktk space kwani ukweli wa matendo yao yako wazi ndo maana anayesimamia hilo anazidi kuwa wazi kwa kutumika kwake
 
Unaweka mada muhimu kama hii kishabiki?

Sasa hiyo 'Tume Huru' itapatikana vipi, husemi!
Una miaka mingapi?

Kwamba umeshindwa kujua tume kuwa huru ni sahihi ila kitendo cha kuwa bado polisi wanatumiwa na viongozi kinaweza kuvura uchaguzi?

Unashindwa kujua kwamba Raisi kuteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi inapelekea vyama visicompete kwenye fair grounds?

[Yaani leo hii Viongozi wa Simba wachague Refa wa kuchezesha match baina ya Simba na Yanga halafu match iwe fair?]
 
Mtazamo wangu ni kuwa na Katiba mpya kwanza itakayojenga mifumo na taasisi huru ili tume huru iweze kufanya kazi kama ilivyotarajiwa. Kenya walifanya hivyo, Ghana wamefanya hivyo na S.Africa pia

Swali ambalo ACT-Wazalendo hawalijibu ni moja. Kwamba, wakati huo wakiwa CUF ya maalimu walikuwa na tume huru ikishirikisha CCM na CUF. Uchaguzi wa 2015 Jecha alibanwa na tumbo akachukuliwa na vyombo husika akatengenezewa mazingira husika hadi leo ni ''celebrate'

CUF hawakuweza kwenda Mahakamani, hawakuweza kupata haki yoyote ile kwasababu mifumo iliyopo bado inailinda CCM.

ACT wanapodai tume huru leo yale ya 2015 na Jecha wanatueleza nini?

Pili, Marhum Maalim Seif alitaka katiba mpya. VP Othman ni muumini hasa wa katiba mpya
Duni Juma, ni muumini wa katiba mpya na ndiye kiongozi wao kama Zitto

Nini kimewakumba leo hawaoni umuhimu wa katiba waliyoitaka miaka iliyopita kiasi cha kutaka tume na hata kujiunga na akina Mrema na Hamada ku sabotage jitihada za kudai katiba?

Yes, ku sabotage kwasababu ukikaa meza moja na Makada hawa wa CCM; Mkandala, Mutung' , Alhad, Hamad Rashid ni kuhalalisha dhulma tu kama ACT inavyojitahidi sasa hivi.

JokaKuu

..binafsi nadhani wanaotaka katiba mpya wasiwashinikize au wasijaribu kuwadhibiti wanaotaka tume huru. And vice versa.

..wanaotaka tume huru waweke hoja zao mezani ili tuweze kuidadisi hiyo tume huru pendekezwa.

..wanaotaka katiba mpya nao waweke hoja zao mezani tujue kama ni mpya kweli au la. Na zaidi tujue kama inakidhi matarajio na viwango.
 
Simpo sana mbona... Ni kususpend tume iliyopo na kukasimu majukumu hayo kwa tume ya mpito.
Amin amin nawaambia... Tume Huru nje ya Katiba ni nia ovu zaidi! Kumbuka kuwa hiyo tume bado itateuliwa na Rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa ccm isiyotaka Katiba Mpya.

Kuweni makini sana.
Watu wazima na akili zao timamu wanayajuwa haya; lakini bado wanakubali kutumiwa na kuanza ubabaishaji na kuwachanganya wananchi kwa maksudi kabisa!

Lakiini, pamoja na wazo zuri hili la kuwa na "tume ya mpito"; hili litawezekana vipi bila ya ku'amend' kipengele cha Katiba iliyopo kinachompa rais (Mwenyekiti wa CCM) madaraka ya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi?
Na unaposema kurekebisha Katiba, maana yake ni Bunge ambalo limejaa watu ambao hawakuchaguliwa na wananchi wenyewe!
 
Una miaka mingapi?

Kwamba umeshindwa kujua tume kuwa huru ni sahihi ila kitendo cha kuwa bado polisi wanatumiwa na viongozi kinaweza kuvura uchaguzi?

Unashindwa kujua kwamba Raisi kuteua mwenyekiti na wajumbe wa tume ya uchaguzi inapelekea vyama visicompete kwenye fair grounds?

[Yaani leo hii Viongozi wa Simba wachague Refa wa kuchezesha match baina ya Simba na Yanga halafu match iwe fair?]
Mkuu, unanijibu mimi, au kuna mtu mwingine unayemwelekezea jibu hili?
Mbona nimekupa 'like', au bado huelewi maana yake ni nini?

Halafu unaniuliza "umri"? Umeghafirika.
 
..binafsi nadhani wanaotaka katiba mpya wasiwashinikize au wasijaribu kuwadhibiti wanaotaka tume huru. And vice versa.

..wanaotaka tume huru waweke hoja zao mezani ili tuweze kuidadisi hiyo tume huru pendekezwa.

..wanaotaka katiba mpya nao waweke hoja zao mezani tujue kama ni mpya kweli au la. Na zaidi tujue kama inakidhi matarajio na viwango.
Mkuu nakubaliana nawe bila shaka

Ninachohoji hapa ni kuwa 'Tume huru' ilikuwepo kule Zbar, Jecha akatenda yake chini ya mfumo na taasisi. Hakukuwa na pa kutokea hata mahakamani. Kuna kipi tofauti leo hii kwa tume nyingine?

Hapa ndipo wanaodai Tume huru wajibu ili tuelewe.
 
Tume huru? Uhuru upi utaondoa nguvu, mamlaka ya Mkulu kutoingilia hiyo tume? Kwani katiba inasemaje juu ya uhuru wa kisiasa? Mko huru kufanya siasa? Ndio maana naamini wanasiasa wanapigania ajenda zao tu.
 
Kwa sasa Kuna mjadala wa kipi kianze Kati ya katiba ya wananchi na Tume huru ya Uchaguzi.

Mvutano mkubwa unaonekana katika vyama viwili vya ACT Wazalendo na Chadema.

ACT Wazalendo wanataka ianze Tume huru ya Uchaguzi katika kuiendea katiba mpya na Chadema wanataka katiba mpya kwenye kuiendea Tume huru.

Mawazo yao yamewaingiza katika uadui mkubwa huku upande wa ACT Wazalendo ukijenga hoja ya kwanini ni muhimu kuanza na Tume huru na Chadema wakiwangooshea vidole na kuwatukana wakati mwingine kuwa wanatumiwa na serikali kuihujumu

Katika hatua hii Kuna makundi ya watu wenye ushawishi wametoa maoni yao.

Miongoni mwao ni Maria Sarungi kupitia bunge la Space anayetaka katiba mpya kwa kuungana na Chadema

Lakini wote hao hawasemi wataifikia vipi katiba mpya kutoka katika kura za wananchi hadi tume ya Sasa yenye jukumu la kuhesabu kura za maoni zitakazopigwa.

Kwa upande wa ACT Wazalendo,mawazo yao yanaungwa mkono na wanasheria nguli wa Chadema, Peter Kibatala na Tundu Lissu kuwa ni muhimu kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya huku wakielezea sababu zao.

Kibatala amesema katika moja ya mahojiano na Clouds Tv kuwa sheria ya mabadiliko ya katiba ya Jaji warioba inataja tume ya uchaguzi ya Taifa NEC na ZEC kuwa ndiyo watakaosimamia kura za maoni kwenye kuipata katiba mpya.

Anasema hiyo tume isipokuwa huru hata wananchi asilimia 98 wakiwa wamepigwa kura ya kuidhinisha katiba mpya tume hizo zinaweza kupindisha ukweli na wananchi wakapoteza haki zao.

Pia Tundu Lissu kwa mlango wa Nyuma amesema mchakato wa Katiba uanze na ikiwa itafikia Uchaguzi wa 2024-25 katiba ikiwa haijaakamilika basi iundwe Tume huru,itakayosimamia Uchaguzi huo.

Kauli yake hii ambayo kwa namna moja ama nyingine imebeba tahadhari zote za kuzuia ukosolewaji ndani ya chama inaashiria wazi tamanio lake ni kuanza na Tume huru kabla ya Katiba mpya.

Kwa hiyo utaona mitazamo ya ACT Wazalendo na hao wanasheria nguli kwa pamoja kwao muhimu ni TUME huru Kwanza kabla ya Katiba.

Na Kibatala amekuwa muwazi zaidi katika hili tofauti na Lissu,anayesema chaguo lake kwa kuzunguka
Mbona mnapenda kusema uongo? Alichosema Lissu ni kuwa kama itaonekana Katiba Mpya haitapatikana kabla ya uchaguzi ujao basi itungwe Katiba ya Mpito itakayohakikisha kuwa uchaguzi utafanyika katika mazingira yaliyo huru na ya haki. Mfano anaotumia ni Afrika Kusini ambako NP na ANC walipitisha Katiba ya Mpito iliyotumika kusimamia uchaguzi uliompa ushindi Mandela. Katiba mpya ya kudumu ilipatikana baada ya uchaguzi. Unasema Lissu anazunguka kwa sababu unataka kumlisha maneno. Msimamo wake uko wazi na unaeleweka.

Amandla...
 
Watu wazima na akili zao timamu wanayajuwa haya; lakini bado wanakubali kutumiwa na kuanza ubabaishaji na kuwachanganya wananchi kwa maksudi kabisa!

Lakiini, pamoja na wazo zuri hili la kuwa na "tume ya mpito"; hili litawezekana vipi bila ya ku'amend' kipengele cha Katiba iliyopo kinachompa rais (Mwenyekiti wa CCM) madaraka ya uteuzi wa Tume ya Uchaguzi?
Na unaposema kurekebisha Katiba, maana yake ni Bunge ambalo limejaa watu ambao hawakuchaguliwa na wananchi wenyewe!
Ujue nchi hii tumejikoroga sana...
Ila wananchi wakisimamia weledi na hatma yao hakuna kinachoshindikana.
Nchi ni ya wananchi!!
 
Chadema na wafuasi wao wengi ni mabumunda wanapiga tarumbeta tu kila jambo wanaoambiwa.

Utapataje Katiba Mpya kwa Tume tuliyonayo na Bunge hili la CCM?
 
Ujue nchi hii tumejikoroga sana...
Ila wananchi wakisimamia weledi na hatma yao hakuna kinachoshindikana.
Nchi ni ya wananchi!!
Na ndiyo maana, binafsi nawasihi saaaana CHADEMA, waelekeze nguvu zao kwa wananchi. Wananchi wanatakiwa wayajue vyema haya yote na ubabaishaji mwingi unaotumiwa na CCM kuwalaghai wananchi.
Bila wananchi kuamua, hakuna kitakachofanyika. CHADEMA na wengineo wanaotafuta haki wataendelea kukandamizwa tu, na CCM wakiendeleza ya kwao.
 
Back
Top Bottom