Kati ya hawa ni yupi kiongozi bora na halisi na mjenga nchi

Limbukeni

Senior Member
Feb 27, 2009
117
1
REKEBISHO LA SILABI (KATI YA HAWA NI YUPI KIONGOZI BORA, HALISI NA MJENGA NCHI)

(1)katibu kata
(2)raisi
(3)waziri mkuu
(4)diwani
(5)makamu wa raisi
(6)mwananchi
(7)mbunge
(8)balozi nyumba kumikumi


jibu linatakiwa moja tuu.
 
Kiongozi bora ni mtu, si cheo.Ulivyovitaja hapo juu ni vyeo, si watu.Ni vigumu kukupa jibu la maana kwa sababu swali halijaulizwa katika njia inayoweza kujibika.

Labda ungeuliza tathmini ya michango ya vyeo vyote hivi na jinsi gani vinasaidia maendeleo na kipi kinachangia zaidi ungeweza kupata majaribio ya jibu.Lakini vipi kama kuna madiwani wengi, na wengine wana ufanisi wakati wengine hawana, je diwani atakuwa na ufanisi au la?
 
swali langu nisahihi 100% kulingana na lengo lake, kama una swali mbadala liulize uko huru kulihusisha na hilo. nakiri sio aina ya maswali uliyayozoea. pia cheo akishikwi na cheo kinashikwa na mtu ili uwe na hicho au hivyo vyeo lazima uwe mtu.
 
Back
Top Bottom