DOKEZO Katavi siyo salama. Kuna kikundi kinaitwa "Damu Chafu" ambacho kinafanya mauaji, ni hatari sana!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu.

Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.

Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi cha mauaji hatari sana.

Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.

Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.

Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.

Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
 
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kunamtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi Cha mauaji hatari sana.

Aende Kamanda Muliro kwa dharura kidogo muone mziki!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kunamtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi Cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.
Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
Poleni, ila hujaelezea taarifa yako vizuri , wanaua na kupora au unauliwa hata bila chukua chochote chako, fafanua mkuu
 
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kunamtu anauwawa kwa kuchomwa na visu.
Kunakikundi kinaitwa "DAMU CHAFU" hiki ni kikundi Cha mauaji hatari sana.
Leo kupitia Azam TV nimeona taarifa ya kuuliwa Askari wa zimamoto na uokoaji.
Sasa mauaji yamefika mpaka kwa Askari.
Huku Katavi ukichelewa kurudi nyumbani basi kesho utaokotwa maiti.
Kwa hali ilivyo ni kama wauaji hawazuiliki.
Tunaomba Mh. Rais utuletee Mkuu wa mkoa ambaye ni mwanajeshi angalau labda ataweza kutuokoa.
Mh. Rais tunaomba fuatilia utuokoe
Kwani Wateule wa RAIS wameshindwa mpaka Rais aingilie kati? Angalie kuna Mstaafu mkubwa huko

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom