Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Picha ya utekaji nyara inarekodiwa kama muvi ya Kanumba! Mi sijawahi ona. Anyway God will reveal the truth, and i'm sure He will vindicate our party
 
Chadema mbona mnahangaika sana na Video ya Lwakatare! Tumeiona tume ielewa!

nashangaa sijui kwa nini watu humu wanajigeuza mashitaka wao,watetezi wao,mashahidi wao,mahakama wao na mbaya zaidi hukumu wantoa hao hao!!jamaa amekamatwa,atajieleza na vyombo vya dola vitapima utetezi wake wakiona kuna ulazima wa kumfikisha mahakamani basi na tuiachie ifanye kazi yake!!!
 
Eti oohoo nina ushaidi wa video ukionyesha viongozi wa CDM wakipanga utekaji na mauaji kumbe ni edit za move maker & photo studio! Sasa wapelekee hicho ki clip chako hao policcm tukapambane mahakaman! Yaani wewe mwiugul ndo umefilisika kimawazo kweli kweli!
 
Hii video itawatesa sana naona mnajaribu kufanya cover up lakini ukweli huu wa vitendo vya utesaji ambao umekua ukifanywa na kitengo cha ulinzi na usalama ndani ya chadema utaishi muda mrefu sana.


Huwezi kuwapaka watu kiny.s. na wakakaa kimya hata siku moja,ccm tatueni masuala ya msingi kwa wananchi wenu iacheni Chadema kama ilivyo pengine tutawaona mna akili kidogo katika hilo.
 
Sioni makosa yoyote kwenye video hiyo.
Kwamba alikua anaongelea wapi,hakuogopa kuonekana au nini nini sio swal la msingi.

Cha msingi ni kwamba:-
1.Huyo ni Lwakatare halisi,sio uongo.
2.Aliongea aliyo ongea,swali ni je,ni nini motive nyumba yake?
a)Kwanini atake kuua waandishi wa habari?
b) Nani ana mtuma kufanya hivyo?
c) Ni kweli kwamba chadema ina ugomvi na vyombo vya habari kiasi hicho?

3. Vipi kama ame nunuliwa kufanya hivyo?
a) Nani anaye m-fund?
b) Ili iweje? Nani targets kwenye hii kesi huko mbeleni?
c) Lwakatare kanyimwa nini huko chadema hadi akubali kulipiza kisasi kiasi hiki?

All in all,ndiye aliye ongea,wapi na katika hali gani sio ya msingi sana.
Cha msingi ni kaongea na maongezi yame onekana either kwa bahati mbaya au kwa kukusudia.

Tujiandae kwa yanayo kuja,ila target sio waandishi wa habari,target sio Lwakatare,
target sio kuwasahaulisha mambo ya msingi,target ni Pesa na uchaguzi wa 2015.

Poleni wapenda siasa,mie natafuta hela tu.
 
nashangaa sijui kwa nini watu humu wanajigeuza mashitaka wao,watetezi wao,mashahidi wao,mahakama wao na mbaya zaidi hukumu wantoa hao hao!!jamaa amekamatwa,atajieleza na vyombo vya dola vitapima utetezi wake wakiona kuna ulazima wa kumfikisha mahakamani basi na tuiachie ifanye kazi yake!!!

Mkuu mbona unaongea kama haupo Tanzania au kama vile umeingia leo? Jiulize polisi leo ndo wameona umuhimu wa kutumia taarifa za JF kama ushahidi/tuhuma?Kama hilo ni sawa kwa nini hawakutumia taarifa za gazeti la mwanahalisi kuwakamata waliomtesa Ulimboka na badala yake gazeti limefungiwa.
Iliwahi kutolewa video clip kupitia hapa JF ikimuhonyesha afisa wa TRA arusha akichukua rushwa uliwahi kusika zimefanyiwa kazi? Kwa hapa kwetu ni afadhali ya mahakama kidogo lakini si polisi amabao wamekuwa kama tawi la CCM
 
Angalia misemo yao:

'nchi itasimama kwa mgomo na maandamano' --- Mwenyekiti --- Mbowe

'nchi haitatawalika' -- Katibu Mkuu --- DR Slaa

Haya yote mnafanya CHADEMA kwa faida ya nani kama kweli nia yenu ni ukomboz


NI KWA ustawi wa maisha ya Watanzania wanaoteseka na uongozi mbovu wa maCCM

Haya ni matunda ya wale waliozungusha ziro juzi,wewe ni mmoja kati ya mateka wa ccm huwezi kuwa tofauti nao kbs.
 
nashangaa sijui kwa nini watu humu wanajigeuza mashitaka wao,watetezi wao,mashahidi wao,mahakama wao na mbaya zaidi hukumu wantoa hao hao!!jamaa amekamatwa,atajieleza na vyombo vya dola vitapima utetezi wake wakiona kuna ulazima wa kumfikisha mahakamani basi na tuiachie ifanye kazi yake!!!

Cha msingi hapa Lwakatare akasafishwe na sheria ili magamba waumbuke.
 
Kuna mawili hapa,Moja Lwakatare kapewa fungu aharibu! Or alikuwa anaongea yake wameongeza maneno kwa ku edit
 
propganda za ccm bwana!..nakumbuka ofisi maalumu ya IT katika mtaa wa undali. Najaribu kukizuia kumuona miraji na vijana wake toka india. Najua Mungu huwaumbua wanafiki na ukweli utazidi kubainika.
 
Ni kweli mkuu aliye-record amechemka. Kwa mtu asiyefikiri vizuri ndo ataamini upuuzi huu. Kama kweli ni Great thinker utang'amua video ilivyo na makosa mengi ya kiufundi na kudhihirisha kuwa ni uwongo.

Ni vyema waandaaji wakajipanga kwa zile part wanazosema eti watazileta.

Mungu ni mwema sana na siku zote huwaumbua watu wenye nia mbaya. Hizi ni siasa za maji taka ambazo hazina tija na upepo utawapitia tu hata kama watatengeneza video mia moja na zaidi. Propaganda hizi ni za kitoto.

CCM na serikali yake wanapoteza muda badala ya kufikiri watawasaidiaje watanzania kuondokana na umaskini. Ni vigumu kuwadanganya na kuwaaminisha watanzania kwa video hii.

CHADEMA mtihani huu mtaushinda tu, mungu yuko nanyi na atawatia nguvu kuendelea na harakati za ukombozi.

“...Andaeni mioyo yenu kwa kuirutubisha.... kwani Mungu anampango mkubwa sana wa kuotesha mbegu mpya ndani ya mioyo yenu ......iliyo kata tamaa ....kwa mateso, njaa na kiu kwa Takribani miaka 50...Mungu atapanda mmea mpyaa ndani ya mioyo yenu..... njaa , mateso na kiu vitakuwa simulizi kwa vizazi vyenu”


….In CHADEMA WE TRUST…
 
Back
Top Bottom