Kasi ya ukuaji wa eneo la manzese Tiptop

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
Manzese Tiptop nieneo katika jiji la dar es Salam linalo kua kwa kasi ya ajabu chaajabu hapa ni Serekali kutokuweka mipango madhubuti ya ukuaji wa hili eneo haswa katika eneo la miundo mbinu ya barabara za mitaa na mfumo wa maji ya mvua,
Serekali inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watu wanao enda maeneo ya kariakoo na posta ikiwa hili eneo lita wavutia wafanya biashara wata Jenga magodawn na maduka ,ofice na kadhalika mtu anae toka mkoani ataona kwanini niende kariakoo kununua nguo na mahitaji mengine atabaki eneo hili ukizingatia ni karibu na stendi kuu ya kwenda mikoani,

Serekali iache mazoea ya kuacha mambo yaende yenyewe bila mikakati na mipango inayo lenga malengo fulani,
 
Njooeni mikoani mtainjoy tu, huko manzese milundikano na minyukano daily
 
Manzese Tiptop nieneo katika jiji la dar es Salam linalo kua kwa kasi ya ajabu chaajabu hapa ni Serekali kutokuweka mipango madhubuti ya ukuaji wa hili eneo haswa katika eneo la miundo mbinu ya barabara za mitaa na mfumo wa maji ya mvua,
Serekali inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya watu wanao enda maeneo ya kariakoo na posta ikiwa hili eneo lita wavutia wafanya biashara wata Jenga magodawn na maduka ,ofice na kadhalika mtu anae toka mkoani ataona kwanini niende kariakoo kununua nguo na mahitaji mengine atabaki eneo hili ukizingatia ni karibu na stendi kuu ya kwenda mikoani,

Serekali iache mazoea ya kuacha mambo yaende yenyewe bila mikakati na mipango inayo lenga malengo fulani,

Kwa taarifa yako bidhaa pale tiptop ni bei chee kuliko k.koo
 
Back
Top Bottom