Kashfa ya kufumaniwa uchawi ni fundisho kwa wafanyakazi wengi nchini

Kuna mangi mwenzangu alikuwaga HOD wa customer care pale..... Nikaja kusikia nae wamemla kichwa. Wahenga wanasema the higher you the cooler it becomes.
 
Mleta mada hujawah kukumbwa na mikasa ya kidunia usichekelee ya wenzio kuna siku yatakukuta mambo mazito... huyo mama na familia yake inatia huruma sana hivi mamlaka husika iko wapi picha hizi zinazalilisha mama zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

ningekuwa na power aliyesambaza video na picha ningemfikisha kwa pilato for molestation
 
nami pia sijaelewa huu uzi,na yule mama kupatwa na yale je mtoa mada anaafiki kitendo cha raia kujichukulia sheria mkononi na kumpiga na kumsukasuka yule mama?kwangu mimi yule mama alihitaji msaada wa polisi na ambulance ili apelekwe hospitalini na kupimwa,matendo aliyofanyiwa na ya kinyama because yule mama hajamdhuru au kumwaibisha yeyote.
 
Ngoja nilale kidogo, nikiamka naumalizia huu uzi, nimejaribu kutafuta maneno yanayoendana na kichwa cha habari lakin mpaka mwisho cjaona, ngoja nilete ile video then labda nitaelewa.
 
Natumaini kwamba umeshapata picha na video za mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VODACOM mwenye cheo kinachoonekana ni kikubwa ambapo mke wake amefumaniwa akiwa uhi wa uchi kama alivyozaliwa huku daladala zikipita kiwa na ungo.

Kama hujaiipata hiyo video na picha za huyo mama basi jitahidi uipate.

Tukio hilo linatikisa jiji kwa sasa lakini haya ni maoni yetu kwa jinsi matukio kama haya yanatokea yakihusisha wafanyakazi wa kampun maarufu hapa nchini.

Kusambaa kwa video na picha za mwanga huyo ni wazi zinatokana na nafasi aliyokuwa nayo mumewe kazini hapo VODACOM. Asingekuwa na nafasi ile na kwa mahusiano aliyoyajenga huenda sura ya tukio isingekuwa kubwa maana inasemekana mambo yale yanafanyika kila wakati.

Tunasema hivi kwa sababu si wafanyakazi wote wanaotokoewa mikasa yao kubandikwa mitandaoni, bali ni lile kundi ambalo limebahatika kwa namna moja kupata usimamizi (supervision).

Hakuna mfanyakazi ndani ya VODACOM aliyewahi kupata ngazi ya kufikia cheo cha u-director, wote wakijitahidi wanaishia cheo kinachobadilishwa-badilishwa jina. Leo kitaitwa “Managing Exececutive, kesho kitaitwa “Chief of Department”.

Ni cheo cha usimamizi tu kwani cheo cha maamuzi kwenye kampuni kinaitwa “Director”.

Wafanyakazi wa VODACOM walipoanza kudai mambo ya vyeo kile cheo cha “Director” kikafutwa idara zikabaki na cheo kinaitwa “Managing Executive”, yaani “ME”. Kwa uelewa wao wakaona ni cheo kikubwa lakini wengine iliwachukua miaka mingi kugundua kwamba ni cheo hakina maamuzi yoyote. Waliogundua hivyo wengine waliondoka.

Tena hata hiki cheo cha “ME” kimekuwa na kawaida kwamba ni vigumu kwa mfanyakazi aliyekulia ndani ya VODACOM kukipata maana kila “Managing Director” anapokuja anabadili watu wake kwa cheo hiki cha “ME”.

Cheo ambacho ni mafanikio ya kufkiwa na wafanyakazi wengi ni kile kilichotungiwa jina kikaitwa “Head of Division” na kwa kifupi wao wanakiita “HoD”.

Hiki ni cheo cha “Supervision” kabisa yaani "unyapara", tena afadhali na kile cha “ME”. Kuna wakati ndani ya VODACOM kulifikia“ma-HoD” hadi 34, na mwingine unakuta ana cheo hiki wakati ana watu wanne tu na hiyo ni idara, tena kati ya hao wanne mmoja au wawili ni mameneja!

“HoD” kwa sababu ndicho kilele cha vyeo vyote ukijitahidi unakifikia basi wengi kwa uelewa wao wakakubali nao kwamba hicho ndicho kilele.

Hivyo kumekuwa na mapambano yasiyo rasmi kukifikia cheo hiki, “u-HoD”. Mtu anaanza kazi akilalamika kwamba kampuni haijali wafanyakazi na anajenga kundi kubwa kumlalamikia mwajiri.

Mwajiri kwa sababu anafahamu mtindo wa watanzania wa kutamani vyeo, basi hapo katikati akakitunga hiki cheo cha “HoD” na kwa kweli alipokitunga VODACOM ikawa imemaliza mchezo wa mapambano na marumbano wafanyakazi wake.

Toka wakati huo management ya VODACOM haigombani na wafanyakazi wake bali hawa “manyapara” waitwao “HoD” ndiyo kama vile wamekula kiapo cha kupambana na watanzania wenzao.

Watu duniani hawana aibu! “HoD” yuleyule ambaye kabla ya “u-HoD” alikuwa mkosoaji wa “Management” siku akiupata “u-HoD” anageuka palepale bila aibu kufanana na “Management” ileile aliyoisakama, tena wakati mwingine na anaizidi.

Kumbe mapambano yote yale ya nyuma, ilikuwa ni ujanja tu ili kampuni imridhishe kwa kuupata “u-HoD” tu na akishaupata ananyamaza kimya. Kafika kileleni kwa uelewa wake, wala si kingine.

Sasa ndani ya VODACOM kuna vuguvugu linaloendelea yaani kilichopo ni kwamba wafanyakazi wanaondoka humo na sasa hata hawa “ma-HoD” wanaondoka kwa namna tofauti.

Kichekesho ni kwamba “ma-HoD” walitumia miaka tele kusahau kwamba, wewe kama binadamu, ilitakiwa kujenga mahusiano mazuri na wenzako na hata jamii. Kwa namna hiyo, badala ya kuvuna imani kwa wenzao, wamevuna chuki tena hata kwa wenzao waliosoma nao na wengine ni marafiki zao.

Yuko binti alivunja urafiki uitwao “family friendship” tena “friendship” iliyoanza tangu wakiwa “primary school” kwenye moja ya internationa shcools, kwa sababu aliona ni bora amchongee mwenzake ili apate “u-HoD”. Na kweli akaupata na ilibidi huyo mwenzake ahame kampuni. Huu ni mfano mmoja kati ya mingi.

Tumeyaandika haya kutokana na matukio ya kijamii yanayoendelea sasa hivi mitandaoni. Takriban mwaka mmoja uliopita, jamaa mmoja simtaji jina ila alikuwa na cheo pale “Human Resources” hivyo ninamuita humu “bwana-HR”. Naye alishaondoka pale VODACOM, tena aliondoka kwa amani tu. Lakini huko alikoenda alipata kashfa kadhaa mitandaoni. Picha zake zikawa zinasambazwa.

Tukio moja akiwa anaonekana kumlilia rafiki yake aliyefariki kwa ajali ya gari na inasemekena jamaa alikuwa anatoka night club.

Tukio jingine ni pale alipokamatwa na polisi anaendesha vibaya gari na polisi wakampiga picha na watu walipozipata wakazisambaza mitandaoni.

Tukio la tatu kwa huyohuyo “bwana-HR” ambako kampuni aliyohamia inayotengeza vinjwaji vikali ikaachisha mkataba wake wa kazi. Wafanyakazi wa ile kampuni huku wakijua ni siri za kampuni walijitahidi kupata ujanja wa kusambaza email iliyotangaza jamaa kuondoloewa kazini na email ile ikafaulu kasambaa mitandaoni kote.

Wakati jamaa ameondolewa huko kampuni ya vinywaji, mtu aliyemwacha pale VODACOM kama junior wake akachukuliwa kuziba nafasi yake. Huyu junior wake naye anaondoka VODACOM akilalamika kwamba “bibi-HR” mpya wa VODACOM anamnyanyasa wakati na yeye huyu “junior” alikuwa kinara wa kukandamiza wengine kama walivyo“ma-HoD” karibu wote!

Tunamaliza na huo mfano wa huyo “bwana-HR” ambaye kwa kweli yeye alitokea nje ya VODACOM kabla ya kufikia kile cheo alichoondoka nacho VODACOM. Sasa tuje kwa mfano mwingine.

Mfano wa pili pia ni mtu ambaye hatumtaji lakini ana sifa za kufanya kazi pale tangu VODACOM imeanzishwa. Kwa sababu amefanya kazi idara ya kompyuta tunamtaja humu kwa jina “bwana-IT”. Kama nilivyosema watu kama huyu hata wakipanda vipi vyeo bado wakijitahidi sana wanafikia ule “u-supervisor” uliobandikwa jina “HoD” na ndivyo ikawa kwa “bwana-IT”.

Utaona kwamba kampuni inafanya “divide and rule”. Ukipata “u-HoD” utawa-rule wenzako huku kampuni ikijua ubovu wako na inakutumia kwa muda itakao-calculate.

Ikifika mahala unaondoshwa ikijua tayari wewe “HoD” umeshapoteza marafiki ndani ya kampuni na hata kwenye jamii, yaani katika maisha huna “company” tena na hakuna anayekuhurumia na sanasana kutimuliwa kwako kutasambazwa mitandaoni.

Ndicho kinachondelea kwa huyu ndugu yetu “bwana-IT” aliyeanza kazi na kampuni. Taarifa zinasema jamaa anafikwa na mikasa mingi kimaisha. Kwanza ana madeni na nyumba yake imepigwa mnada wiki kadhaa. Kama wewe ni “HoD” na uliishi vizuri na jamii hii ni mikasa ya kuhurumiwa na ikibidi kusaidiwa hata kwa kuchangiwa.

Lakini kwa sababu “ma-HoD” wa VODACOM wanafanana tabia toka siku wanaupata “u-HoD” pamoja na mikasa hii, huyu “bwana-IT”badala ya kuhurumiwa na jamii, basi kila watu wanaposikia taabu kwa “HoD” yeyote ndiyo kwanza picha na video za mikasa yake zinasambaa kwenye mitandao.

Kama tulivyoeleza mwanzoni, jana imesamabaa picha ya mke wake, yuko akiwa uchi barabarani amekalia ungo huku daladala inapita. Wananachi kama kawaida yao wakaona hicho ni kituko na wakidhani ni mwanga. Simu zikafanya kazi ya kurekodi tukio lote na hivyo ma-group mengi sasa huyo mke wake ndiyo “habari ya mujini”.

Wanaosambaza hizo picha ni ni kina nani kama si haohao aliofanya nao kazi huko VODACOM au kwingine walikopitia kwani nje ya hapo “bwana-HR” na “bwana-IT” hawajulikani kabisa.

Ni wazi kabisa kwamba VODACOM ni kundi la wafanyakazi ambao wana kubwa kasoro ya kuishi kama jamii wanayopaswa kujitazama upya. Vinginevyo kutishia kuwepo tishio la la kwamba kwamba iko siku personal issue zitasambaa mitandaoni.

“Bwana-HR” na “bwana-IT” walipaswa kabisa kuhurumiwa na kupewa moyo katika mikasa yao iliyosambazwa mitandaoni kama ambavyo dada mmoja wa “Customer Care” alipopatwa na kasha ya picha za uchi kusambaa mitandaoni alihurumiwa na wengi japo picha zilisambaa.

Wapo waliomshauri aombe likizo apate ahueni ya kisaikolojia na akahurumiwa kuingiliwa mambo yake binafsi.

Kuna wakati jamaa mmoja pale AIRTEL ilisambaa email yake na binti mmoja wameenda kutalii Uganda tena staff junior wake. Iliposambaa ile video inasemekana alikuwa anajiandaa kutumia ukubwa wake pale kazini kumfukuza jamaa mmoja na wakati anaandaa kumfukuza ikasambazwa ile video.

Kinachotokea kwa “bwana-HR” na “bwana-IT” ni reminder kwambaunapokuwa kazini kwa naasi yoote itumie kwa kujali busara ukijua kwamba maisha ndani ya kazi uliyomo yana mwisho wake na una watu wanakujua tangu ukiwa “chekechea”.

Watanzania tusiendekeze tamaa ya hizi “peremende” au “pipi” ndogondogo humu makazini za muda mfupi zinazoitwa “u-HoD” tukajenga chuki ya muda mrefu na wenzetu ambao wenine tulijenga urafiki nao tangu tukiwa "chekechea".

Kitendo cha mtu kufukua mkasa wako mtaani na kuuanika mitandaoni, ni wazi kwamba unafahamika na wanaozisambaza ni haohao waliokuwa chini ya “u-HoD” wako.

Cheo ni dhamana na kazi ni dhamana ukivipata vitumie kwa busara ukijua kwamba kuna siku kazi ile kazi haipo tena au kile cheo kile hakipo tena.

Tusisahau kwamba eneo la kazi ni mahali ambapo unajijengea jina na historia. Kazi hiyo ikiisha unakuwa umebaki na wenzako uliotengeneza au kubomoa mahusiano nao kazini na jinsi ulivyojiweka.

Kama ulitengeneza uhusiano mazuri kazini, kila mmoja hatafurahia issues zako au frustrations zako zikisambazwa hivi mitandaoni.

Tumezungumza sana kuhusu “ma-HoD” kwa sababu ndiyo ngazi inayoathirika sana na mahusiano kazini tuliyotaja humu kwa kifupi.
Yaani Bwana Hr huyo Aliwafanyia unyama sana hata huko alikotoka nje ya Vodacom na huko alikkokwenda Yaani kilichopmpata kinamstahili na actually kilichelewa ni ekuelewa sana
 
Jamani msihukumu sana.huyo mama ana tatizo la kisaikolojia.mmewe amemtocher sana. Amewehuka.ulizeni wawajuao. Unaweka nyumba rehani bila mwenza kujua .anajua unamkimbia unaoa mwingine. tusikimbilie kuhukumu wapendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warogaroga watu bure waumiza waafrika wenzako kwa nini madaraka wapigania kampuni siyo yako wala yake ni ya Muzungu
 
Back
Top Bottom