Kashfa: Msemaji wa serikali atumia picha za SGR ya Kenya

Hakuna connection yoyote na alicho kua anakiongea.. sema tuu anataka kulaghai wananchi kwamba hii ndio reli ya Tanzania anayo isema.
Ingependeza zaidi ameitumia picha hiyo kwa muktadha gani? Je alisema hii ndiyo SGR ya Tanzania au alikuwa anasema nini? Bila kujua hilo twaweza kumuonea baba wa watu bahati mbaya hilo silioni kwenye maelezo yako mkuu.
 
Hakuna connection yoyote na alicho kua anakiongea.. sema tuu anataka kulaghai wananchi kwamba hii ndio reli ya Tanzania anayo isema.
Kama ni hivyo basi huo ni uongo wa mchana kweupe na cybercrime inamhusu kabisa. Any way huyo ndiyo Mtemi Abbasi asije akawa kama Chemical Ali wa Saddam.
 
Kwa ofisi kubwa kama ya msemaji wa serikali anadiriki vipi kutumia picha za SGR ya kenya kuonyesha SGR ya Tanzania?

Huyu ana PHD sijui ya nini?

Watanzania sio wajinga kama ameshindwa kupata picha zinazotushawishi Watanzania sio busara na sio haki kabisa kutuwekea picha za reli ya majirani zetu.

Tunaofisi ya msemaji wa serikali ya hovyo kuwahi kutokea.

Wenye uelewa mzuri ndio wananielewa kwanini nimeita hii ni kashfa.

View attachment 1285919
Huyu ni miongoni mwa viongozi duni mno , mshamba anayeigiza utapeli , zamani kwetu kyela kulikuwa na matapeli wawili , Mwankenja na Maskita , huyu namfananisha na wale
 
Ni ushamba ukio tukuka
Sio tatizo hapo kwa msemaji wa Serikali, huo ni mfano halisia. Labda swali muhimu tunazindua lini jiwe la msingi reli Mza ,Kigali?? Ama mara baada ya sherehe za uhuru!? Cash ipo sisi ni nchi tajiri,
 
Amefanya vizuri sana kutumia hizo picha kama ni za Kenya kwa sababu ni majirani zetu na wanashirikiana na Serikali hii kuliko kama angetumia picha za Japan, UK Germany au mahali popote mbali ya Tanzania. Good work Dr Abasi maana unaonyesha ukomavu wako sio tu kwa kujali uhusiano mzuri na majirani zetu. (Message sent and delivered)

You need deliverance my brother. La kukosoa likosolewe. SGR yetu imefika zaidi ya moro kuna haja gan kutumia picha za kenya? Nahisi hujawahi kuvuka
Mpaka wa
 
Ni kweli hiyo picha ni SGR ya kenya sijui kwanini kaitumia.Anataka tuchambwe na majirani tuu kwenye jukwaa lao kule daa soo kweli
 
You need deliverance my brother. La kukosoa likosolewe. SGR yetu imefika zaidi ya moro kuna haja gan kutumia picha za kenya? Nahisi hujawahi kuvuka
Mpaka wa

What deliverance? BTW my brothers aren't just brothers, what do you dispute? It seems you've a phobia.
 
Amefanya vizuri sana kutumia hizo picha kama ni za Kenya kwa sababu ni majirani zetu na wanashirikiana na Serikali hii kuliko kama angetumia picha za Japan, UK Germany au mahali popote mbali ya Tanzania. Good work Dr Abasi maana unaonyesha ukomavu wako sio tu kwa kujali uhusiano mzuri na majirani zetu. (Message sent and delivered)
He he he! Praise team waajabu kweli, Kenya wakitumia picha ya mlima uliowekwa na Mungu malalamiko utadhani waliutengen3za wao lakini picha yenye haki miliki ya Kenya mna tumia kuwadanganyia wasukuma(maana ndio wengi mnaowapiga kisa elimu) wenu.
 
Usiwe na kasumba. Kenya tulichopigia kelele ni kutangaza kwamba mlima Kilimanjaro upo Kenya. Unaweza kutuwekea hiyo hati miliki ya picha kutoka Kenya? Waambie Wakenya wamshitaki kwa sababu wana haki miliki ya hiyo picha au wewe ''Chakaza'' na jina lako la bandia wasaidie maana huo ni mpunga tosha tu.
 
Huyu ana PHD sijui ya nini?

Watanzania sio wajinga kama ameshindwa kupata picha zinazotushawishi Watanzania sio busara na sio haki kabisa kutuwekea picha za reli ya majirani zetu.
Nchi hii kuna vituko kweli kweli, si angalao hata angeonyesha bayana kwa kutambua kuwa hiyo ni ya Kenya na anaitumia kama kielelezo tu cha kueleza habari yake. Huyo jamaa huwa namwona kama anamtindio wa ubongo hivi! Hizi PhD siku hizi zinaokotwa tu kama kokoto!
 
Usiwe na kasumba. Kenya tulichopigia kelele ni kutangaza kwamba mlima Kilimanjaro upo Kenya. Unaweza kutuwekea hiyo hati miliki ya picha kutoka Kenya? Waambie Wakenya wamshitaki kwa sababu wana haki miliki ya hiyo picha au wewe ''Chakaza'' na jina lako la bandia wasaidie maana huo ni mpunga tosha tu.
Eeenh, nilipoanza 'kukufahamu/kukusoma' humu, nilidhani una aina fulani ya upeo wa mambo!
 
Hehehe nyie watani zetu bana, halafu kutwa kuponda SGR yetu ila kimya kimya mnaitamani.
Kale kasafu kenu ka Dar hadi Moro sijui mumekwamia wapi huko maporini, kuna hii picha naona inazunguka kwenye mitandao yenu eti imetoka kwa msemaji wa serikali, nakumbuka pia kuna kipindi waziri wenu alitumia picha zetu.

2235281_20191208_225357.jpeg
 
Unajua ulambaji viatu ukizidi unakua upumbavu.. hapa alikua anazungumzia kwamba reli ya zamani inaendelea na ukarabati.. sasa sijui kwa upeo wake anaona akituonyesha hiyo reli reli ya kenya ndio tutaamini serikali inafanya kazi.

Tatizo hawa viongozi wanataka watanzania wote tuwe wapumbavu kama wao
Ni kweli hiyo picha ni SGR ya kenya sijui kwanini kaitumia.Anataka tuchambwe na majirani tuu kwenye jukwaa lao kule daa soo kweli
 
Back
Top Bottom