Kashfa Anna Mkapa kuuziwa na serikali kiwanda cha Korosho Mtwara kwa 50 millioni.

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
images

Dk Slaa amshukia mama Anna Mkapa


Aidha, Dk Slaa alisema serikali kwa kujua iliamua kwa makusudi kumuuziauza kiwanda pekee cha korosho kilichopo mkoani Mtwara kwa sh. milioni 50 na kuwaacha wakazi wa mtwara wakihangaika na korosho zao pasipo kujua ni wapi watazipeleka.


Alisema kama kiwanda hicho kingeachwa wakazi wa Mtwara wasingekuwa na taabu ya kujua ni wapi pa kupeleka korosho zao.
“Taarifa nilizonazo kiwanda hicho alichouziwa mama Mkapa kimeondolewa mitambo yote na sasa kimebaki tupu na hakuna kinachoendelea juu ya hilo huku ninyi mkibaki na umasikini wenu”alisema Dk Slaa
 
images


Yaelekea huyu mama amekuwa mwalimu kwa mkapa kumfunza uchumi na ujanja ujanja katika kukamata rasilimali za taifa.
 
Back
Top Bottom