Karim Benzema ahusishwa na kikundi cha kigaidi

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,917
15,348
Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka nchini Misri.

====

Kufuatia tuhuma za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa Karim Benzema “ana uhusiano” na kundi la kigaidi la Muslim Brotherhood, Seneta wa Ufaransa Valerie Boyer, ameibuka na kutoa kauli tata dhidi ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, Seneta huyo ametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Benzema, ikiwa tuhuma za kujihusisha na kundi la “Muslim Brotherhood” kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani zitathibitishwa.

image-11.png

Kwenye taarifa hiyo, Seneta Boyer alisema, “Kama kauli za Waziri wa Mambo ya Ndani ni kweli, lazima Karim Benzema awekewe vikwazo”.

“Kwanza Benzema apokonywe tuzo yake ya Ballon d’Or, lakini pia, ni lazima mchezaji huyo avuliwe uraia wa Ufaransa. Hatuwezi kukubali Mfaransa mwenye uraia pacha, na kujulikana kimataifa, atuvunjie heshima na kuisaliti nchi yake kwa kiasi hiki.”

image-13.png

Mijadala na tuhama hizo imeibuka baada ya Benzema kukaa kimya juu shambulio la kigaidi lililohisisha mauaji ya mwalimu wa Kifaransa nje kidogo ya jiji la Paris, huku siku chache baada ya tukio hilo, mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid akitumia kurasa zake za kijamii, kupelekea salamu za pole na kuomba haki itendeke kwa Taifa la Palestina.

Sns
 
Na muslim brotherhood hapa Tanzania walishakuja, wana washirika kibao, wana misikiti, kuna kipindi walikuwa wanatoa mawaidha chanel ten.

Ndio maana hata hapa Tanzania magaidi wameshatengenezwa sana. shida ni ili kuja kutulazimisha tuwe waislam baada ya kupindua nchi na viongozi wetu kwasababu ya uislam hawalichukulii maanani kwasababu wao ni waislam tayari.
 
na muslim brotherhood hapa Tanzania walishakuja, wana washirika kibao, wana misikiti, kuna kipindi walikuwa wanatoa mawaidha chanel ten. ndio maana hata hapa Tanzania magaidi wameshatengenezwa sana. shida ni ili kuja kutulazimisha tuwe waislam baada ya kupindua nchi.na viongozi wetu kwasababu ya uislam hawalichukulii maanani kwasababu wao ni waislam tayari.
Muslim brotherhood si udugu wa kiislamu? Kuna uhusiano na magaidi?
 
Muslim brotherhood hata Dar es salaam wapo na walikuwa na kipindi chanel ten, waarabu fulani toka misri hata kiswahili hawajui. kama wanasambaza dini wasambaze kwa mujibu wa sheria na kwa amani ila wasitengeneza magaidi tafadhali. serikali watupieni jicho.

Na unakumbuka kipindi kile walipofika tu tukaanza kusikia hata watoto wadogo wanatekwa kilimanjaro kwenda kufundishwa ugaidi na wengine kupelekwa somalia. Mnakumbuka?
 
na muslim brotherhood hapa Tanzania walishakuja, wana washirika kibao, wana misikiti, kuna kipindi walikuwa wanatoa mawaidha chanel ten. ndio maana hata hapa Tanzania magaidi wameshatengenezwa sana. shida ni ili kuja kutulazimisha tuwe waislam baada ya kupindua nchi.na viongozi wetu kwasababu ya uislam hawalichukulii maanani kwasababu wao ni waislam tayari.
We jamaa nimeshaku-observe una kachuki ka kijinga dhidi ya dini ya Kiislam...

hivi hao Muslim brotherhood waje hapa na wahubiri na wajenge misikiti, huku serikali na wahusika wa haya mambo (USALAMA WA TAIFA) wapo wapi kipindi hicho?!

Acha kuongopea umma kisa tu umejawa na chuki. Huna ujualo kuhusu Uislam, utakapojua utajiona MPUMBAVU SANA!
 
jina linamaanisha udugu wa kiislam ila behind wana agenda ya ugaidi na mataifa ya magharibi yalishawaweka kwenye fungu la magaidi kwasababu walishafanya ugaidi misri na maeneo mengine duniani.
Si ndiyo wale wanatoa misaada ya kuchimba visima vya maji vijijini mkoani Tanga?
 
muslim brotherhood hata Dar es salaam wapo na walikuwa na kipindi chanel ten, waarabu fulani toka misri hata kiswahili hawajui. kama wanasambaza dini wasambaze kwa mujibu wa sheria na kwa amani ila wasitengeneza magaidi tafadhali. serikali watupieni jicho. na unakumbuka kipindi kile walipofika tu tukaanza kusikia hata watoto wadogo wanatekwa kilimanjaro kwenda kufundishwa ugaidi na wengine kupelekwa somalia. mnakumbuka?
HUNA AKILI KABISA WEWE!
 
of course, marekani waliwaweka kama kikundi cha kigaidi 2015. sio lazima na sisi tuamini wanachosema wamarekani, ni kikundi kimeanza miaka mingi, tangu before 1920s kuna mazuri, mabaya tuyachambue.
 
Muslim Brotherhood Terrorist Designation Act of 2015​

Huna akili wewe! Umejawa na chuki tu... Dini yenu ya kudanganyana na kushikana matako na maziwa mkiwa mnadanganya kina mama mnawatoa mapepo ndo dini au sio? 😀😀😀

Kweli zumbukuku ulimwengu upo huku😂😂😂🙌🏾

Jitu zima linadanganywa na mafuta ya kula, maji na michanga vitatatua matatizo yake... Dahh! Nyinyi kuna tatizo mahali
 
Seneta mmoja nchini Ufaransa ametaka aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Real Madrid, Karim Benzema, apokonywe uraia baada ya kutuhumiwa kujihusisha na kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood kutoka nchini Misri.

====

Kufuatia tuhuma za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gerald Darmanin, kuwa Karim Benzema “ana uhusiano” na kundi la kigaidi la Muslim Brotherhood, Seneta wa Ufaransa Valerie Boyer, ameibuka na kutoa kauli tata dhidi ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid.

Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, Seneta huyo ametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Benzema, ikiwa tuhuma za kujihusisha na kundi la “Muslim Brotherhood” kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Ndani zitathibitishwa.

View attachment 2788293

Kwenye taarifa hiyo, Seneta Boyer alisema, “Kama kauli za Waziri wa Mambo ya Ndani ni kweli, lazima Karim Benzema awekewe vikwazo”.

“Kwanza Benzema apokonywe tuzo yake ya Ballon d’Or, lakini pia, ni lazima mchezaji huyo avuliwe uraia wa Ufaransa. Hatuwezi kukubali Mfaransa mwenye uraia pacha, na kujulikana kimataifa, atuvunjie heshima na kuisaliti nchi yake kwa kiasi hiki.”

View attachment 2788294
Mijadala na tuhama hizo imeibuka baada ya Benzema kukaa kimya juu shambulio la kigaidi lililohisisha mauaji ya mwalimu wa Kifaransa nje kidogo ya jiji la Paris, huku siku chache baada ya tukio hilo, mchezaji huyo wa zamani wa Real Madrid akitumia kurasa zake za kijamii, kupelekea salamu za pole na kuomba haki itendeke kwa Taifa la Palestina.

Sns
mashoga wanataka wabaki peke yao tu hapa duniani ili wafi*ne vizuri
 
HUNA AKILI WEWE! UMEJAWA NA CHUKI TU... DINI YENU YA KUDANGANYANA NA KUSHIKANA MATAKO NA MAZIWA MKIWA MNADANGANYA KINA MAMA MNAWATOA MAPEPO NDO DINI AU SIO? 😀😀😀

KWELI ZUMBUKUKU ULIMWENGU UPO HUKU😂😂😂🙌🏾

JITU ZIMA LINADANGANYWA NA MAFUTA YA KULA, MAJI NA MICHANGA VITATATUA MATATIZO YAKE... DAHH! NYINYI KUNA TATIZO MAHALI
Mbona una makasiriko mzee? Umejuaje kama huyo jamaa ni mgalatia? Kwanini unahusisha Ukristo na comment ya jamaa. Ebu kunywa maji na tulia kidogo. Humu hatuhitaji makasiriko kwani tumekificha kwenye fake ID.
 
jina linamaanisha udugu wa kiislam ila behind wana agenda ya ugaidi na mataifa ya magharibi yalishawaweka kwenye fungu la magaidi kwasababu walishafanya ugaidi misri na maeneo mengine duniani.
Hao wamekataliwa hata na waislam wenzao mfano Egypt kwa tuhuma za kuihusisha na ugaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom