Karibuni sana watanzania wote chadema:

Generalkaduma

Member
Apr 29, 2011
20
5
karibuni sana watanzania wote:-
chadema, peoplesss… power. Tuungeni mkono, tuchagueni, tupeni fursa muone tukishindwa tupigeni chini. Tusije laumu kwa mara nyingine maisha magumu wakati falsafa yao walisema maisha bora kwa kila mtanzania haipo.
Naamini mtu kuwa chama fulani si kosa maana huenda uelewa wake ndo umemfanya aone hicho ndo bora ila swara ni pale anapopenda kitu ambacho watu wanaangalia maisha yao tu (mafisadi).
Angalia usije laumu mtoto wako uzeeni kumbe wewe baba au mama eti mtoto hakutunzi kumbe wewe ulichagua mtu enzi zako ambae hataki kuleta usawa kwa jami kupitia rasilimali za nchi yetu ambazo ni kwa manufaa ya wote.
Zingatia wewe ndo uliempigia kura then anakucheleweshea spidi ya maisha yako kwa kusema maisha bora huku mtu unataabika na kulazimishwa hata pale unapomjengea hoja katika kutetea haki yako ya kikatiba wanafikiria kukuua, sijui walimu wao nani?
Marekani mtu ukiahiki kuwatendea wananchi kuwa utawawezesha vitu flani halafu wakachukua ridhaa ya kukupa kura mwishowe ukashingwa kufikia nusu ya ahadi unashitakiwa kwa kuwacheleweshea wananchi maisha bora. Watanzania tujifunze hili jamani jamani.
Ni muda mfupi sana umebaki,watanzania tusifanye kosa, tufikirie mapema kuhusu uwepo wa kadi zetu za kupigia kura.katiba ndo tunaisubili maana naamini kipengele nambari moja nisichokipenda cha eti rais akishatangazwa hapaswi kupingw hata kama katumia udanganyifu katika kupata kura zake, raishata akiiba hashitakiwi hili balaa, baadae atachukua wake za watu mtasema poa tu kwa vile yeye ni rais.
Imani yangu mambo mengi yatakuwa yametizamwa, walai yale yote wananchi wameyakataa (wasigeuze mambo) maana katiba ni kwa msaada wa kila mtanzania tafadhari wasije yaludisha.
Namshukuru mungu, yu nasi na anaendelea kutusimamia kuhakikisha anatuongoza na kutuepusha katika kila jambo baya mbele yetu.
 
Watanzania wote wakijiunga na CDM si tutarudi kwenye siasa ya chama kimoja?
 
Back
Top Bottom