Kariakoo: Wafanyabiashara kutoruhusuwa kufungua maduka yao kumpisha Rais

Hata kama wewe ndiyo rais wa nchi, Sidhani kama ungekubali wewe kama rais uwe mahali halafu watu waendelee na shughuli zao wakati unafanya kwa ajili yao.

Kwani ukifunga kwa hayo masaa atakayokuwepo hapo unapungukiwa nini?

Huwezi kuwa maskini kwa kufunga biashara siku moja, vile vile hata ungefungua duka lako huwezi kuwa tajiri kwa hayo masaa machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu haui watu hovyo? Unajua wangapi wanakufa kwa ubovu wa huduma za afya? Unajua umasikini na uchumi mbovu miundombinu mibovu inaua watu kiasi gani? Tena Bora yule ameokoa wengi mno!
Nimekupa like kwa maandishi haya ndugu Gladiator4440 , "Huyu haui watu hovyo? Unajua wangapi wanakufa kwa ubovu wa huduma za afya? Unajua umasikini na uchumi mbovu miundombinu mibovu inaua watu kiasi gani?".
 
Hata kama wewe ndiyo rais wa nchi, Sidhani kama ungekubali wewe kama rais uwe mahali halafu watu waendelee na shughuli zao wakati unafanya kwa ajili yao.

Kwani ukifunga kwa hayo masaa atakayokuwepo hapo unapungukiwa nini?

Huwezi kuwa maskini kwa kufunga biashara siku moja, vile vile hata ungefungua duka lako huwezi kuwa tajiri kwa hayo masaa machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Tz tuna safari ndefu sana.
 
acha ukoloni bro
 
Katika hali ya kushangaza leo kutoka Kamata kona mpaka makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi hakuna kufungua maduka mpaka Rais Samia amalize shughuli zake Shule ya Benjamani William Mkapa.

Rais Samia mpaka naandika hapa bado hajafika hapo Shuleni inamaana basi ampaka amalize shughuli zake aondoke ndipo maduka yatafunguliwa.

#Kaziiendelee
Dah poleni
 
Tii mamlaka acha kiburi
 
Sijui wanaopanga haya ni lini watabadilika. Hizi mambo ni primitive sana.
 
Nilipita saa 4 kamata ndiyo walikuwa wanaanza kufunga barabara hii nchi wananchi wanateseka mno
 
Huyu haui watu hovyo? Unajua wangapi wanakufa kwa ubovu wa huduma za afya? Unajua umasikini na uchumi mbovu miundombinu mibovu inaua watu kiasi gani? Tena Bora yule ameokoa wengi mno!
Huko ni kumtaftia mtu makosa tu. Kuna vitu kweli anazingua ila ulichoandika hapa ni utumbo tu.
 
Hata kama wewe ndiyo rais wa nchi, Sidhani kama ungekubali wewe kama rais uwe mahali halafu watu waendelee na shughuli zao wakati unafanya kwa ajili yao.

Kwani ukifunga kwa hayo masaa atakayokuwepo hapo unapungukiwa nini?

Huwezi kuwa maskini kwa kufunga biashara siku moja, vile vile hata ungefungua duka lako huwezi kuwa tajiri kwa hayo masaa machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
You deserve a Trophy for the Most Stupid Comment of all time...

Back
Top Bottom