Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,086
Habari wanabodi
Taarifa zinazoendelea kusambazwa na mitandao mbalimbali kutoka eneo la tukio ni kwamba Yule aliyepigwa na Job Ndugai mapema leo amefariki dunia!
Updates
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu aliye eneo la tukio kaniambia Daktari amethibitisha! vile vile habari inaenea kwa kasi kupitia whatsup...
JF tunawaomba mfanye confirmation ili kujiridhisha!
================================
Update;

Katibu Msaidizi wa Wilaya ya Kongwa, Javan Masimami (CCM) ameiambia JamiiForums kuwa taarifa zinazoenezwa kuwa, Dr. Joseph Elieza Chilongani ambaye ni mmoja wa watangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kongwa, kuwa amekufa ni za uongo kwani muda mchache tu uliopita mgonjwa huyo alishiriki chakula cha mchana vizuri.
"Muda wa mchana amekula chakula vizuri tu kwahiyo hizo taarifa zinazoenezwa juu ya kifo chake ni za uzushi dhidi ya ndugu yetu Joseph" alieleza Katibu huyo.