Kanumba arudi tena!!mama yake amrudisha..

ma2mbo

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
697
326
Msanii wa filamu marehemu Steve Kanumba amerudi na filamu mpya inayoingia mtaani wiki hii,inaitwa 'Ndoa Yangu' ..ni filamu iliyotabili kifo chake na ipo chini ya usimamizi wa mama yake..get your copy now.

Source:chanel10
 
naomba u edit hyo title ya post yako... imekaa ki shigongoshigongo
 
naomba u edit hyo title ya post yako... imekaa ki shigongoshigongo

mkuu itafute movie,mama kawa promota siku izi..shigongo kamtumia sana Kanumba na jina lake kupiga pesa..kufa kufaana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom