Kanisa Katoliki Lakiri Watoto 620 Walilawitiwa na Watumishi Wake

Status
Not open for further replies.
Hapa naona muhimu waruhusiwe kuoa maana najua wanatamani sana wanaishia vitoto

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hapa Sheikh yuko laivu!!!

Benetton-pulls-pope-kissing-ad-J3JMK7P-x-large.jpg
 
Povu la nini kijana utafìcha kila kitu lakini sio tabia.Hizo ndo zenu mnajidai mnamwiga Yesu kutokuwa na mpenzi kumbe mnapanda watoto.
Mlawiti namba moja ni Mwamedi aliyekuwa analawiti kibinti cha miaka 9.
 
Moderator umejitahidi kuchakachuwa kichwa cha habari lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, "watumishi" wa kanisa si ndio hao hao mapadri na ma askofu, unakificha nini?
 
Moderator umejitahidi kuchakachuwa kichwa cha habari lakini ukweli unabaki kuwa ukweli, "watumishi" wa kanisa si ndio hao hao mapadri na ma askofu, unakificha nini?

Bado ninamachungu ya makanisa kuchomwa Mbagala...
 
Ni busara sana wamekiri kwasababu ya mapungufu ya watumishi, hii inaonesha kuwa udhaifu wa watumishi wa kanisa siyo sera wala msimamo wa kanisa Katoliki. My you "by then" it was the order of the day, haya mapungufu ya watumishi yalitokana na "jamii" walokuwa wakiishi, we live by our own culture, ndo maana walikuwa hivyo. Kama hao watumishi wangekuwa wanatoka katika jamii safi bila shaka wangekuwa wasafi. Ni wachafu kwasababu jumuiya yao ni chafu. Hebu soma kitabu cha "goodbye good-men" utaelewa haya yote. All these were made for distortions.
 
Mimi ni mkristo wa RC, kusema ukweli, ma-padri wa kikatoliki wanafira sana vijana wetu, haya ni mapungufu ya kimfumo 'hakuna kuoa'. Utamwambiaje mtu mzima ambaye ni rijali asioa, je unategemea nini? Nakumbuka kuna kipindi flani kati ya miaka ya 2005-2006 pale UDSM, kuna padri alikutwa anamfira kijana mmoja hivi, padri alifungwa. Pia, kwa wale ambao waliwai kusoma Pugu secondary, hadi mwaka 2000 nilipoondoka pale, kulikuwa na padri mmoja mweusi, mfupi hivi, alikuwa paroko pale, alikuwa anamgonga mwalimu mmoja hivi wa 'o' level, tena ilikuwa inajulika tu. Kwa kweli kwa sisi waRC, hili ni tatizo kubwa.
 
Sheria ikiwa kali tz Zomba nakuhakikishia maustadhi wote wa madrasa watafungwa si na mapadre tu unaofikiria!!! Hebu tuanze kujichunguza wenyewe!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom