Kanikimbia baada ya kumtaka tukapime H.I.V

Ningehisi labda kapata alichokitaka ndo maana kakimbia
Sababu ni yeye ndie alianza kukuuliza kama umepima na ukamuhakikishia kuwa uko bieeee, mwenzio anaandaa vikao vya harusi sasa. Kapata atakacho subiri suprise!
 
Kupima ni hiari ya mtu usimlazimishe ipo siku atapima tu yy mwenyewe mana hakuna namna.
 
Mshukuru Mwenyezi Mungu amekuepusha na kitu, wamtafuta wa nini tena huyo msichana!
 
ameogopa kma ninavyolalaga mbele mimi kikijaga kipengele hicho ninapoazisha uhusiano mpya araf demu alete habari hzo za kupima HIV ni nduki kali tu
 
Back
Top Bottom