Kangi Lugola ampa onyo kali Fatma Karume kwa kumkosoa kwenye suala la kumtuma IGP Sirro

Kama kuna mtu kamuelewa kangi lugola anifahamishe, kwa kuwa ninaelekea mlimani city nitamletea zawadi manaa mara nasikia nyoka, mara kachochea tarehe 2, hana mtitirilo unaoeleweka
 
sasa hapo lugola anachobisha ni nini? kwani hakuamuagiza IGP?
Ni ajabu kweli kweli viongozi wenye dhamana katika nchi hii yaani wamepotea watu kama Ben Saanane, Azori na yule Diwani wa kule Kigoma na Lissu kupigwa malisasi mengi hakuna maagizo ya maana yaliyotoka kumwelekea IGP, leo hii yanatolewa maagizo makubwa na kufanywa ndio habari kuu kwa kiongozi kwa kupotea Mbwa tu. Kweli tutembee kifua mbele kwa haya yanayotokea.
 
Waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola amempa onyo kali wakili na rais wa TLS kuwa atamshughulikia baada ya wakili huyo kumkosoa kwenye suala la kumuagiza IGP akamatafutie mbwa aliyepotelea bandarini

Kangi Lugola ingawa hakumtaja kwa jina amesema mtoto huyo wa aliyekuwa rais wa Zanzibar aanafanya uychochezi na ni bora akakaa kimya kwani hatawavumilia watu wa aina yake

View attachment 814588

Hahaha, Kangi...hili lishithole jamani kah!
 
Hivi huyu huwa ni mtoto wa Abeid Karume(mzee) au Amani Karume(mtoto) naombeni mnifafanulie wadau

Namkubali sana huyu mama!!
Mjukuu wa sheikh abeid karume(rais wa kwanza)
Mtoto wa amani(rais wa awamu ya sita).

Kwa kifupi ni mjuuku wa rais na mtoto wa rais pia
 
Waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola amempa onyo kali wakili na rais wa TLS kuwa atamshughulikia baada ya wakili huyo kumkosoa kwenye suala la kumuagiza IGP akamatafutie mbwa aliyepotelea bandarini

Kangi Lugola ingawa hakumtaja kwa jina amesema mtoto huyo wa aliyekuwa rais wa Zanzibar aanafanya uychochezi na ni bora akakaa kimya kwani hatawavumilia watu wa aina yake

View attachment 814588

Ni aibu sana kwa Mkurya kushindwa na mwanamke , ni matarajio yangu kwamba Lugora atajiuzulu
 
Back
Top Bottom