Kanani: Watoto wa Palestina daima wamekuwa ni jinamizi kwa Wazayuni

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,648
3,938
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mjibizo kwa shambulio lililofanywa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya Hospitali ya Watoto ya Al-Nasr huko Gaza, na kueleza kwamba: "watoto wa Kipalestina daima wamekuwa ni jinamizi kwa Wazayuni."

Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim; Nasser Kanani amelaani shambulio la kinyama la utawala wa Kizayuni dhidi ya Hospitali ya Watoto ya Al-Nasr katika Ukanda wa Gaza na kusema: watoto wa Kipalestina wanajifunza alfabeti za maneno ya subira, ushujaa, muqawama na kuuawa shahidi kwa ajili ya ukombozi wa Palestina kuanzia siku za mwanzo za kuzaliwa kwao katika madrasa za mama zao, baba na kaka zao na dada zao na hilo ndilo jinamizi la kudumu linalowaandama Wazayuni.

Kanani amesisitiza kuwa: Wazayuni wanadhani kwamba ikiwa watawachinja watoto wote wa Gaza, watakuwa wameshawafuta tokea leo kwenye mbeleko za mama zao wapiganaji na wanajihadi wa kesho wa Palestina, ilhali kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, mama wa Kipalestina atamkabidhi kwa mara nyingine mtoto wake kwa mkondo wa maji ili muda si mrefu wa kesho ijayo aje kuuanganmiza utawala usio na mashiko wa Mafirauni wa Kizayuni.
 
Magaidi wamezoea kutesa wakristo kwakua niwapole ila kwawazayuni wameyakanyaga
 
Nov 10, 2023 07:21 UTC

  • Kanani: Watoto wa Palestina daima wamekuwa ni jinamizi kwa Wazayuni
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mjibizo kwa shambulio lililofanywa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya Hospitali ya Watoto ya Al-Nasr huko Gaza, na kueleza kwamba: "watoto wa Kipalestina daima wamekuwa ni jinamizi kwa Wazayuni."

Kwa mujibu wa shirika la habari la Tasnim; Nasser Kanani amelaani shambulio la kinyama la utawala wa Kizayuni dhidi ya Hospitali ya Watoto ya Al-Nasr katika Ukanda wa Gaza na kusema: watoto wa Kipalestina wanajifunza alfabeti za maneno ya subira, ushujaa, muqawama na kuuawa shahidi kwa ajili ya ukombozi wa Palestina kuanzia siku za mwanzo za kuzaliwa kwao katika madrasa za mama zao, baba na kaka zao na dada zao na hilo ndilo jinamizi la kudumu linalowaandama Wazayuni.

Kanani amesisitiza kuwa: Wazayuni wanadhani kwamba ikiwa watawachinja watoto wote wa Gaza, watakuwa wameshawafuta tokea leo kwenye mbeleko za mama zao wapiganaji na wanajihadi wa kesho wa Palestina, ilhali kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, mama wa Kipalestina atamkabidhi kwa mara nyingine mtoto wake kwa mkondo wa maji ili muda si mrefu wa kesho ijayo aje kuuanganmiza utawala usio na mashiko wa Mafirauni wa Kizayuni.
Maneno ya kutia moyo tofauti na hali ilivyo, watu wanauliwa kwa makosa yako Iran, ulipofadhiri ujenzi wa mahadaki chini ya hospitali za watoto. Ili kuwafikia Hamas lazima watoto wafe na unajua hilo.
Kama kuna adui wa wapalestina ni Iran
 
Hii Vita imeleta mauaji na maafa kwa Wapalestina, uhalifu mkubwa umetendeka.

Hii Vita haipaswi kuendelea.
 
Wakulaumiwa hapo ni hao magaidi wenzio, kama kweli wanawapenda na kuwajali wagonjwa na watoto kwa Nini wanakwenda kujificha mahospitalini huku wakijua kbs kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha ya hao watoto na wengineo wasio husika na ushenzi wao?

Wao si vidume? Waende field kwenye battle sasa kutaka kuwatumia watoto kama ngao wanawaponza hao watoto na laana za hao watoto zipo juu yao
 
Back
Top Bottom