Kampuni ya Ukaguzi wa mahesabu na uhasibu

kaburunye

JF-Expert Member
May 12, 2010
672
74
Wadau, kama kuna mtu anafahamu kampuni nzuri ya ukaguzi wa mahesabu na uhasibu inayomillikiwa na vijana wa kitanzania wanaoweza kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa naomba anipe contacts zao. Nataka kazi nzuri lakini kwa bei reasonable. Kampuni kubwa kama PwC, KPMG na nyinginezo zenye majina makubwa sizitaki. Nataka kampuni ya kibongo lakini inayoweza kufanya kazi kwa kiwango cha kimataifa. Kama partners wa kampuni wakiwa from big four firms itakuwa bomba zaidi.
 
Back
Top Bottom