Minja mdogo
New Member
- Sep 14, 2017
- 2
- 4
Tanzanite One inasema leseni ya kuchimba Tanzanite, Graphite na Marble kwenye kitalu cha ukubwa wa 8 sq km ilitolewa Mwaka 2000 kwa kutumia Sheria ya Madini ya Mwaka 1998. Serikali ilipobadilisha Sheria hiyo na kuwa na Sheria ya Madini ya Mwaka 2010, Kifungu cha 116 na Kanuni za Sheria hiyo vinalinda uwekezaji wake wote kwenye eneo hilo la Merelani.