Kampuni ya ACACIA ipo katika mkakati wa Kupunguza wafanyakazi 400

Kuna uhusiano mkubwa kati ya ujinga, roho mbaya na uchawi!

CCM mkisikia watu 400 wanaondolewa kazini mnafurahiiiii
Kwahiyo wewe unaona ni heri watu 400 wanaolipwa ujira wa uji kwa miaka waendelee kupata uji kwa ku trade future yao na vizazi vyao? Wewe bila shaka ni mjukuu wa Mangungo
 
Ndo dua zenu upinzani lakini haitotokea ht kidogo .... punguzeni hzo roho za tamaa kwenye mambo ya msingi,mambo yanayomuhusu kila mtanzania ... "eti ndio hicho wanapendeaga wazungu" ..... shame on u!

tunaongea haya sababu tumeyaona yakitokea na nitakuhesabia;

1.richmond

2.samaki wa magufuli

3.shell ya muhindi kule mwanza aliyovunja magufuli

Sasa tunaposema haya haimaanishi hatuipendi nchi yetu au tunapenda tuibiwe na hawa wazungu,la hasha!

Tunachosema ni kwamba,walisaini wenyewe mikataba migumu ya kifisadi(pengine kuna hela iliingia lumumba),sasa kwa vile mimi nimeenda shule na nina akili timamu,huwezi kunipeleka kibwege wakati nayanusa madhara ya maamuzi ya kukurupuka maili kumi toka nilipo...endelea na uzalendo uchwara wako!!!
 
Kuna uhusiano mkubwa kati ya ujinga, roho mbaya na uchawi!

CCM mkisikia watu 400 wanaondolewa kazini mnafurahiiiii
Kwaio ulitaka waendelee kutuibia sio? Ikiwezekana sio wapunguze tu, wafunge virago wasepe watu watafute kwengine. Yaani kisa ni mfanyakazi wa jambazi tena ndio tuwaache watuibie kwa kuhofia watu kutokuwa na ajira?
 
Pumbavu kabisa, mbona watu mna roho mbaya ya kuwatakia wenzenu kufukuzwa kazi kiasi hicho? Mtu akipoteza kazi wewe inakusaida nini?
Na asipopoteza hiyo kazi kisha Mchanga Ukaibiwa mimi Pia inanisaidia nini??
 
tunaongea haya sababu tumeyaona yakitokea na nitakuhesabia;
1.richmond
2.samaki wa magufuli
3.shell ya muhindi kule mwanza aliyovunja magufuli
sasa tunaposema haya haimaanishi hatuipendi nchi yetu au tunapenda tuibiwe na hawa wazungu,la hasha!
tunachosema ni kwamba,walisaini wenyewe mikataba migumu ya kifisadi(pengine kuna hela iliingia lumumba),sasa kwa vile mimi nimeenda shule na nina akili timamu,huwezi kunipeleka kibwege wakati nayanusa madhara ya maamuzi ya kukurupuka maili kumi toka nilipo...endelea na uzalendo uchwara wako!!!

Anyway hata hvo nilijua haya ndo utakayonijibu ..... kwahyo we msomi ambae hupelekwi kibwege unashauri nini kifanyike?
 
Hakuna sehemu kwenye mikataba ambayo inaruhsu kufanya udanganyifu. Hawajahukumiwa kwa sababu ya mikataba mibovu, wamehukumiwa kwa sababu ya uwizi waliokuwa wanaoufanya, ambao hauhusiani na mkataba wowote. Serikali haijalalamika kuwa inapata 4%, inalalamika udanganyifu uliofanywa. Jaribuni kuelewa nini Serikali inapigania. Mikataba mibovu imeshatiwa saini, na serikali inatakiwa iheshimu mikataba hio.

Hivi kwa mfano we umeingiliana mkataba na mkulima wako kuwa mazao yote yanayopatikana ni ya kwako ila yeye utakuwa unamlipa mshahara tu, siku ukamkuta mazao mengine amehifadhi kwake na akakuletea idadi isiyoyakweli ya mazao itakuwa mkataba mbovu au itakuwa anakufanyia wizi?
 
sku zote ajira mgodin uwa aziishi ukiona watu wanaachikwa ujue soon wengine wataajiliwa.Ningumu sana. Migodini kumaliza mwezi ajafukuzwa mtu na ajaajiliwa mtu.
 
Anyway hata hvo nilijua haya ndo utakayonijibu ..... kwahyo we msomi ambae hupelekwi kibwege unashauri nini kifanyike?
tufanye cost benefit analysis...tuvunje mkataba leo nakuwalipa fidia(mapato ambayo wangepata hadi mkataba kuisha) au tukae mezani kwa unyenyekevu na kujadili jinsi ya kupunguza tunachowalipa ili waendelee kupata tenda ya uhakika lakini yenye faida kote(win-win).
 
Unaposema tukae nao kwa unyenyekevu na tuwalipe kwani hukuisikia ripoti ya kwanza ambayo imeonyesha wamefanya udanganyifu kwa kipindi chote ambacho wamekuwa wakifanya uwekezaji!?
 
Hakuna sehemu kwenye mikataba ambayo inaruhsu kufanya udanganyifu. Hawajahukumiwa kwa sababu ya mikataba mibovu, wamehukumiwa kwa sababu ya uwizi waliokuwa wanaoufanya, ambao hauhusiani na mkataba wowote. Serikali haijalalamika kuwa inapata 4%, inalalamika udanganyifu uliofanywa. Jaribuni kuelewa nini Serikali inapigania. Mikataba mibovu imeshatiwa saini, na serikali inatakiwa iheshimu mikataba hio.

Hivi kwa mfano we umeingiliana mkataba na mkulima wako kuwa mazao yote yanayopatikana ni ya kwako ila yeye utakuwa unamlipa mshahara tu, siku ukamkuta mazao mengine amehifadhi kwake na akakuletea idadi isiyoyakweli ya mazao itakuwa mkataba mbovu au itakuwa anakufanyia wizi?
hapa ndipo tatizo napoliona kwa wasomi nyinyi,na ninapata tabu sana kuelewa kama hamjui au mnafanya kusudi!!!
nijibu swali langu;
nani aliyethibitisha kuwa wanatuibia?
 
Unaposema tukae nao kwa unyenyekevu na tuwalipe kwani hukuisikia ripoti ya kwanza ambayo imeonyesha wamefanya udanganyifu kwa kipindi chote ambacho wamekuwa wakifanya uwekezaji!?

Mkuu tatizo lenu lipo hapa!yani mimi na wewe tuna mkataba,wewe unakurupuka unawatuma watu waje na ripoti kuwa nakuibia..hivi kwa akili yako ushahidi wa kamati uliyounda wewe unaweza kukubaliwa mahakamani!!! ile ripoti sio huru,ni one sided,na hapo ndipo watakapotushinda.

Tungeunda tume huru isiyofungamana na upande wowote utoe ripoti..hapo tungekuwa tumewaweza(kama kweli wanatuibia)
 
Mkuu siyo roho mbaya tulipofikia ni pabaya ukiona hivyo unga umezidi maji biashara ni mahesabu wewe unataka wawalipe nini kama mazingira yao hayaruhusu?
Nani katufikisha hapo pabaya?

Tumefelishwa kimkakati na hawa maccm
 
mkuu tatizo lenu lipo hapa!yani mimi na wewe tuna mkataba,wewe unakurupuka unawatuma watu waje na ripoti kuwa nakuibia..hivi kwa akili yako ushahidi wa kamati uliyounda wewe unaweza kukubaliwa mahakamani!!! ile ripoti sio huru,ni one sided,na hapo ndipo watakapotushinda.
tungeunda tume huru isiyofungamana na upande wowote utoe ripoti..hapo tungekuwa tumewaweza(kama kweli wanatuibia)

Sasa km ni hvo ..hatuibiwi na kuna mkataba kwanini tuvunje mkataba na tuwalipe then tukae tukae nao meza moja tena! ni nn maana ya point yako ulioitoa if there is not any problems in current contract!!? ..... hebu ngoja kwanza would u mind tel me we unaishi wapi au unafanya nn for living na umesomea nn labda from there tutaanza kuelewana
Me naishi kahama, na ni miner na nina elewa vzr pale serikal inaposema tunaibiwa kwenye madini.
 
Ilipaswa tuombe review ya mkataba kipengele cha makinikia, huko kwenye review ndiko tunge demand kuona kiwango cha dhahabu kwenye makinikia, tungeunda tume ya pamoja ambayo ingetupa jibu zuri tu!
Hapo ndo tungekuja na mapendekezo magumu kwao ambayo yange trigger kushindwa kwao kuendelea kuchimba dhahabu.

Kwa sasa ccm imeshainamishwa inasubiri kubatizwa ubatizo wa maji mengi.
 
hapa ndipo tatizo napoliona kwa wasomi nyinyi,na ninapata tabu sana kuelewa kama hamjui au mnafanya kusudi!!!
nijibu swali langu;
nani aliyethibitisha kuwa wanatuibia?
Mimi nashangazwa na usomi wako. Serikali imefanya uchunguzi na imebaini iliyoyabaini. Sasa kama si kweli, wao si wafanya uchunguzi wao? kulikuwa na haja ya kupunguza wafanyakazi kama upo confident? ilisemwa kuwa mmiliki wa Acacia ni agent wa Mossad, sasa pia ameshndwa kuifungulia mashtaka serikali? Waliothibitisha kuwa wametuibia ni tume ilopewa kazi ya kufanya uchunguzi. sasa kama uchunguzi mwengine upo uletwe, tuoanishe, kisha tupelekane mahakamani kieleweke.

Watanzania wenzangu nawashangaa sana, yaani walia sana kuwa tunaibiwa madini, leo serikali imefanya uchunguzi na kubaini yanayosemwa ni kweli, kila mtu anaipa mgongo serikali. Ni UNAFIKI TU umewatawala watu. Basi msije kulalamika serikali ikija kuacha wizi uendelee.
 
Duu kama ACACIA wanapunguza wafanyakazi 400

Mpaka sasa nini hatma ya wana jf na watanzania waliopeleka CV zao kwa ajiri ya maombi ya kazi na kuitwa kwenye interview.. ..

Hivi hapo ni kweli kuna matumaini ya kuajiriwa
Wamepeleka cv accacia?
 
Sasa km ni hvo ..hatuibiwi na kuna mkataba kwanini tuvunje mkataba na tuwalipe then tukae tukae nao meza moja tena! ni nn maana ya point yako ulioitoa if there is not any problems in current contract!!? ..... hebu ngoja kwanza would u mind tel me we unaishi wapi au unafanya nn for living na umesomea nn labda from there tutaanza kuelewana
Me naishi kahama, na ni miner na nina elewa vzr pale serikal inaposema tunaibiwa kwenye madini.
hayo mengine ni personal sitakujibu ila mining business naijua...hao watu tulisaini nao mikataba ya ovyo..wanatuibia kisheria na ndio maana nikasema tukae nao mezani,maguvu hayawezi kushinda sheria uliyosaini mwenyewe
 
Sasa km ni hvo ..hatuibiwi na kuna mkataba kwanini tuvunje mkataba na tuwalipe then tukae tukae nao meza moja tena! ni nn maana ya point yako ulioitoa if there is not any problems in current contract!!? ..... hebu ngoja kwanza would u mind tel me we unaishi wapi au unafanya nn for living na umesomea nn labda from there tutaanza kuelewana
Me naishi kahama, na ni miner na nina elewa vzr pale serikal inaposema tunaibiwa kwenye madini.
Weka hapa mkataba baina ya serikali na Acacia.

Mkataba pekee ndio utatupa picha jinsi tunavyoibiwa.

Otherwise unafanya upotofu kwenye jamii
 
Back
Top Bottom