Kampeni za udiwani kata ya Iyela Mbeya CCM hali ni mbaya, wasomba watu kutoka Uyole na Utengule

one activist

Senior Member
Oct 13, 2012
114
14
Katika mkutano wao wa kwanza uliofanyika maeneo ya Kamficheni walipika wali na nyama kitu kilichofanya watu waliohudhuria mkutano wa chadema katika eneo la Maendeleo kuondoka mkutanoni kuwahi sahani huko, na leo katika mkutano ulioanza hivi punde magari yaliyojaza watu kutoka Uyole, Utengule na sehemu mbalimbali za nje ya Halmashauri ya jiji la Mbeya yamebeba watu na kuwarundika katika mkutano utakaofanyika Pambogo na kuhutubiwa na akina Mwigulu, Mwampamba, katibu muenezi Mbuzax nk.Hawa watu waliokula huo wali umeishia matumboni na kamwe hauwezi ukabadilisha misimamo yao mioyoni, namna hii inaonyesha ni kwa jinsi gani CCM zama zao zimefika ukingoni.
 
Hahaha hahaha hahaha kula ccm, kura chadema...viva makamanda!
 
Hata siku ya uchaguzi wawabebe na magari kutoka SOKOMATOLA hadi eneo husika.
 
Dinna, lunch, breakfast available kule ccm lakin kumbuka tutadozi cdm.... Wanaogea bafu la vioo, thy have reach thinking limit
 
Kilichofanyika huko ndicho kimefanyika katika mkutano wa hadhara Makambako wameweka magari matano kusomba watu nje ya mji kuja kumsikiza Jangili wa Tembo na Nepi.Kweli ccm taa nyekundu inawawakia
 
Katika mkutano wao wa
kwanza uliofanyika maeneo ya Kamficheni walipika wali na nyama kitu
kilichofanya watu waliohudhuria mkutano wa chadema katika eneo la
Maendeleo kuondoka mkutanoni kuwahi sahani huko, na leo katika mkutano
ulioanza hivi punde magari yaliyojaza watu kutoka Uyole, Utengule na
sehemu mbalimbali za nje ya Halmashauri ya jiji la Mbeya yamebeba watu
na kuwarundika katika mkutano utakaofanyika Pambogo na kuhutubiwa na
akina Mwigulu, Mwampamba, katibu muenezi Mbuzax nk.Hawa watu waliokula
huo wali umeishia matumboni na kamwe hauwezi ukabadilisha misimamo yao
mioyoni, namna hii inaonyesha ni kwa jinsi gani CCM zama zao zimefika
ukingoni.

Duh kweli jamaa hawana jipya, yaani hata udiwani hawaaminiki. Je u..............wataliaje?
 
E.t.c means :- end thinking capacity. Ishara ya kuonyesha kifo kinawanyemelea. Angalia wameshavaa mavazi ya mochwari. KIJANI TUPU? kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom